Mjembe wa Kamati tendaji Chadema Kanda ya Nyasa CHIRISTOPHER MBUNDA ameitwa Polisi Iringa. Tunafuatilia kwa karibu chanzo cha kuitwa na kukamatwa kwake.
#PeoplesPower#KatibaMpya
Rafiki ameniomba msaada.Kijana wake amepata nafasi chuo kikuu anahitaji ada.Nimemuuliza ingekuwaje kijana angekuwa anaoa?Kajibu wangeunda kamati.Nimeshauri wafanye,waorodheshe marafiki,mimi nikiwemo,ili kama ilivyo harusi tuchangie.Kusiwe na kuvunja kamati.Katika hili,Tubadilike.
Umekuwa Chawa Mdogo wangu Hadi unakera wakubwa zako. Jana nimekaa na Waziri Mmoja anasema ulikua unatia huruma sana wakati unatafuta kujishikiza CCM. Wamegundua tuu unaweza kuandika uongo uongo mwingi kuhusu Upinzani basi.
Kama ambavyo Kiongozi wenu mwandamizi anavyotakiwa kuwajibika na kuwajibishwa kwa tuhuma za kuhamasisha vijana wenu waue mtu, hadharani kwenye mkutano wa hadhara.
Ndugu yangu @godbless_lema hivi unajua Kuwa hata hapo Arusha huyu Mama anamtaka Gambo? Imagine anataka Majambazi tuu ili yamsaidie Kuiba Uchaguzi. Nyie pigeni vigelegele tuu na Kima mtavuna mabua
Huyu mnataka abarikiwe kumbuka ndio amemleta Makonda Muuaji kabisa? Nyie sasa hamjielewi. Unamsifia Mtu mnafiki? Anaeuma na kupuliza Kama Panya Buku? Samia ni mkatili kuliko Magu. Imagine hataki Maridhiano tena? Yani pamoja na Sifa zote zile mmempa Pale Mwanza, Leo kawadisi.
@SuluhuSamia huyu aliemteua @MakondaMwenezi ndio ametengua Uteuzi wa @gekuli. Imagine. Huu ni Unafiki kwamba anajali haki za watu. Muongo. Ukatili wa Makonda ni Zaidi ya Huu. Muuaji anakuwaje Mwenezi wa CCM Taifa? Naona Wapinzani wamesahau ya Makonda wameanza vigelegele.
Proudlyโฆhalafu wanaoendesha kampeni za chuki za kisiasa, wakitaka kuwapangia watu cha kusifia, kwa mwamvuli kwamba โtusiweke siasa kwenye michezoโ, majuzi tu hapa walikuwa wanafanya uchawa kumsifia mwanaume mwenzao kujenga nyumba ๐
Wewe Ile Nyumba alikupa Suzan wakati amekuoa Leo ungekua unatamba nayo shida ukashindwa kumla vizuri akakupiga Chini akawa analiwa na @KatambiPatrobas Leo ni Boss wako tena hahahahah
Umenena kwa mifano. Struggling recoveryโฆwanataka watu wasikumbuke kuwa Rais anayepongezwa na kuungwa mkono na watu wanaompenda kwa mahaba, ni yule yule walimwalika mkutanoni, wakamtuza na wakashangilia alipowaambia hawana mgombea urais ๐๐. Bado yale waliyoagizwa CCM Kirumba!