Wachaga tumewakubali jamani 😂🔥 ni wazee wa fursa! Wakisikia jambo lina future, wamo!
Huyu ni Janeth Mushi. Kwenye video yupo airport tayari anaelekea India 🇮🇳 kusoma BCA in Data Science.
Kinachofanya story ya Janeth iwe interesting zaidi ni hiki:
Janeth alikuwa mwanafunzi wa afya.
Lakini akasema “Hapana, technology inakua kwa kasi sana. Nataka kwenda kwenye Data Science.”
Na ukifikiria vizuri, dunia tunayokwenda sasa inaendeshwa na nini?
DATA!
Benki zinahitaji data kujua tabia za wateja na kutambua fraud.
Hospitali zinatumia data kuelewa wagonjwa na kuboresha huduma.
Telecom zinachambua data za mamilioni ya watumiaji.
Biashara zinahitaji data kujua bidhaa gani inauza, kwa nani na lini.
Serikali zinahitaji data kupanga huduma na kufanya maamuzi.
AI yenyewe haiwezi kuwa na maana bila DATA ya kujifunzia.
Kwa kifupi, karibu kila taasisi kubwa leo inakusanya data. Changamoto ni nani ataichambua na kuigeuza kuwa maamuzi yenye maana?
Hapo ndipo watu wa Data Science wanapoingia. 📊💻
Na Wachaga mwaka huu mmetupa somo 😂. Janeth anakuwa takribani Mchaga wa 37 kati ya Watanzania zaidi ya 200 ambao Akili Education tumewasaidia kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi mwaka huu.
Mkisikia AI, Cyber Security, Data Science, FinTech mnauliza kwanza: “Fursa iko wapi?” 😂🔥
Sasa habari kubwa ni hii:
🚨 ZIMEBAKI NAFASI 3 TU kwa option yetu ya Bachelor/BCA in Data Science India.
Budget ni takribani TZS MILIONI 8 KWA MWAKA ikijumuisha:
✅ Ada
✅ Malazi
✅ Chakula
Na malipo yanaweza kufanyika kwa awamu mbili kulingana na package husika.
Mzazi, kama mtoto wako amemaliza Form Six na bado hajapata chuo/kozi mnayoitaka, usiache hizi nafasi zipite halafu uje kuuliza zikiwa zimejaa.
Njoo Akili Education na matokeo yake, tumshauri na tuanze admission.
Comment “DATA” tukutumie utaratibu.
📞 0793939320
📍 ITV Road, Neolife Building
Wachaga mpo? Uchagani mpaka India! 😂
Wanasema kabla hujafa angalau tembelea haya maeneo matatu, Hospitali, Gerezani na Makaburini;
Hospitali, Huku utakutana na watu wanamwomba Mungu vitu simple ila kwao ni muujiza, aweze kutembea bila maumivu, aweze kupumua bila shida, na kuamka ukiwa huumwi tena.
Gerezani, Huku utajifunza thamani ya uhuru, Uwezo wa kuamua kijifanyia mambo yako mwenyewe, kuspend time na wale wapendao.
Lakini Makaburini, Utajifunza kitu kikubwa ambacho mara nyingi tunakipotezea, ila ukweli ni kwamba kila mmoja ile ndio nyumba yake ya milele na siku inakuja kwa kila mtu.