Mimi ukija iv najua we ni muongo na tapel yan inakuaje umalize siku nzima hujala na unamiliki smartphone yenye bando
1. Hutaki kufanya kazi
2.huna akil🚮
Kama ni mm response yangu apo ni "kummako"
@LL_Svint@Mchinagraphics@fellu__ All crimes aren't equal. Sidhani kama hilo ni swala tulitakiwa kubishania
Anyway. Sexual act btn people of the same sex is criminalised by law, so haihitaji maoni yangu
But i do not see anything wrong with two ADULTS, irregardless of genders, having consensual relationships.
Public niwacheka United kwa kumchukua kocha asiye na mafanikio, Lakini tukibaki 2 Room. ukiniuliza tena, nitakwambia ukweli: hii ni habari mbaya kwa hater kama mimi! Poche hajafanikiwa, lakini anajua kutengeneza timu, na akifanikiwa kufunaya alichokifanya spurs, Nitateseka mno.