@moshijnr Huyu mchezaji nilimuona kwenye mchezo mmoja tuu wa champions league ila nilimtabiria makubwa,ndio kwanza anamiaka 21,AM na CM,siamini kwa timu aliyotokea kama angepata rate nzuri hivi,msimu ulivyoisha nilitaman sana @SimbaSCTanzania wamsajili @moshijnr