@AnethStanley Dada @AnethStanley ...hata km tunachukizwa na watawala lkn usipinge kila kitu...dhambi haiwi justified kwa dhambi my dear...Hilo hapana aisee
Mpoo!? Mpaka sasa tuna Million 2 na Laki 7.
Wezesha Mawakili wetu Peter Kibatala na wenzake.
Namba Mpesa 0744 446 969 jina Chadema HQ. CRDB 01J1080100600 CHADEMA M4C
Mue mnaRetweet tujue Kama Mpoo.
@yerickonyerereT Chadema Ni Imani Kama ilivo dini...imagine aliondoka YESU lkn UKRISTO bado upo,alikufa MUHAMAD lkn UISLAM bado upo,wamekufa MITUME na manabii lkn dini bado zipo na Leo hii hata sisi tufe lakin DINI zitaendelea kuwepo...CHADEMA ipo MIOYONI mwa Watz✌🏼
Hakuna kitu kinanipa faraja kubwa moyoni kama nikiona watesi wetu waliotuteka, kutupoteza, kutupiga risasi, kutufunga gerezani, wanateseka, na hakika wanateseka kweli na bado, pamekuchaa.. Kama unaweza kufanya kitu cha kuwatesa, fanya. Unaweza kuandika, andika. Eeh!