Kuna njama zinazoendelea za kutaka nihusishwe na mauaji ya James Temba, ambaye mwili wake uliokotwa ukiwa umekatwa kichwa.
Kuna accounts inaitwa @Sisimizi3 ipo X (Twitter), Facebook, Instagram na Tiktok imenitaja kwa jina na kuweka namba yangu hadharani na kusema kuwa ninahusika na mauaji hayo kwa kile alichokisema kuwa ni kutokana na mimi kumdai marehemu simu aina ya iPhilone 17, nimetekeleza mauaji hayo.
Nieleze kuwa, mimi sifanyi biashara Kariakoo kama alivyoeleza wala sijihusishi na biashara ya simu, kilichoelezwa ni uongo, hivyo sihusiki kwa namna yoyote ile na tukio la mauaji hayo.
Aidha, Jeshi la Polisi limeshaeleza kwa umma kuwa limeshawakamata watuhumiwa wa mauaji hayo.
Poleni ndugu, jamaa na marafiki maana wengi mmenipigia kutaka kujua ukweli juu ya hili.
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
@Apollo_Boniface@HecheJohn Happy birthday kaka Mungu akujaalie umri wenye baraka na furaha. Sisi ndio tunajua thamani ya uhai na muda kwakuwa tumechagua haki na kweli.
Happy birthday, Apollo! Iβm truly grateful to work with you on a day to day,basis. Itβs truly a privilege. Your kindness, both inside and out, never goes unnoticed. Wishing you a wonderful day filled with joy, and many more years ahead full of success and happiness. Long live, Apollo!
Happy birthday kijana wa Chama,
Happy Birthday @Apollo_Boniface wewe ni moja kati ya watu muhimu sana kwenye haya mapambano, unafanyakazi njema kwa bidii kubwa, siku ya leo nakuombea Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na amani tele.π₯