Semina ya Dodoma ilikuwa nzuri watu wamejifunza kuhusu blockchain.
Nimefurahi kuona mzazi akija na mwanae.
Muamko ni mkubwa.
Next tutakuwa kanda ya ziwa.
For bookings ni DM.
Kama unaeza kusanya watu then nichek tuangakienuwezo kuja free
Divine Mercy Sunday is a reminder that God's mercy is stronger than our sin, stronger than death itself. The Cross was not the end - the Resurrection revealed the triumph of mercy.
Blessed Mother, the disciples ran to tell the world that Jesus had risen! Fill us with the same zeal and courage to proclaim His victory. May our words and actions reflect the joy of the resurrection so that others may come to believe. Alleluia!
Leo Mama Kanisa anaadhimisha Dominika ya nne ya Kipindi cha Kwaresima, Mwaka C wa Kiliturujia katika Kanisa. Dominika hii inabeba ujumbe wa furaha ya Baba mwenye huruma anayewapenda, kuwajali na kuwasubiri watoto wake ili waweze kutubu na kumwongokea. Dominika hii pia huitwa "Domenica Laetare" au โdominika ya furahaโ hii ni furaha ya toba na wongofu wa ndani tayari kumrudia Mwenyezi Mungu. Ni furaha, utulivu na amani ya ndani, baada ya mwamini kujipatanisha na nafsi yake, Mwenyezi Mungu, jirani na mazingira nyumba ya wote.
Tunaalikwa kufurahi kwa sababu Pasaka i karibu. Ndiyo maana liturujia ya dominika hii inaruhusu altare kupambwa kwa maua, rangi ya mavazi ya Misa kuwa ya pinki badala ya zambarau, na ala za muziki zinaruhusiwa kupigwa.Leo tunapata simulizi la mwana mpotevu na Baba mwenye huruma. Lengo ni kutufundisha kuwa wakosefu wanaweza kuingia katika Ufalme wa Mungu kama wakitubu dhambi zao. Lakini kinyume chake wema wanaweza kuingia katika moto wa milele kama watakengeuka na kuziacha amri za Mungu.
Msisitizo hapa upo katika ukuu wa huruma ya Mungu kwa wenye dhambi wanaotubu, kuwa Mungu anampokea mara moja, anamkumbatia, anambusu, anamvika mavazi mapya, anamfanyia sherehe, anamuweka huru na kumpa hadhi ya kushiriki karamu ya Kristo, Ekaristi Takatifu ambayo ni kiini cha maisha yetu ya kikristo, na hivyo anapata nafasi ya kuanza maisha mapya. Hii ndiyo furaha anayokuwa nayo mtu akifanya toba ya kweli na kuungama vyema dhambi zake, akizitaja waziwazi kwa ujasiri bila kuzimumunya wala kuficha chochote. Ni furaha ya ajabu isiyoelezeka, furaha inayotuondolea mawazo ya kukata tamaa na inayotupa matumaini na nguvu ya kusonga mbele katika maisha yetu.
Kumbe ni vyema sana kufanya maamuzi ya mwana mpotevu ya kujinasua na dhambi. Tuweke nia ya kujikosoa kwa unyofu, na kufanya toba ya kweli, tuondoke, tuenda kwa Baba na kumwambia nimekosa. Dhambi hii ninaiacha! Tumsifu Yesu Kristu. ๐
In this new week, may you experience peace, abundance, and divine help, and may you receive the fulfillment of your heart desires. Have a fulfilling week๐๐ฝ