Kuna Msela wa Forex anasema kawahi kuwa na 1.8B na akapoteza 😆
Una 1.8B bado unakesha kuuza na kunua hela mitandaoni 😀
Mimi 500m mtanikuta shambani najifurahisha kufuga sungura organically.
NILIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUZUNGUMZA NA Dr Lazarus McCarthy Chakwera .
Nilipata nafasi ya Kuonana na Kuzungumza na Mheshimiwa Dr.Lazarus McCarthy Chakwera Muwakilishi wa Katibu Mkuu Commonwealth na kuzungumzia Kiini cha tukio baya kabisa la Mauwaji ya halaiki la Oktoba 29 /2025 na matukio mengine ambata ya kabla na baada ikowemo watu Kutekwa na kupotezwa.
Hoja zetu zililenga namna bora ya kupata ufumbuzi kamili kwa msingi wa UKWELI(TRUTH), HAKI (JUSTICE) na Uwajibikaji (ACCOUNTABILITY).
BAK MWABUKUSI.
Dunia inajua kwamba kesi ya Mwenyekiti wetu ni uongo..
Dunia haijatuacha na haitatuacha katika mapambano haya..
Kila mtu kwa sauti kubwa tunapaswa kupiga kelele kila siku kuhusu #FreeTunduLissuNow Hii ndio iwe kampeini yetu.
Serikali ionee huruma Wananchi wake…
Nimeshuhudia pale Mloganzila ndugu wa Mgonjwa wametoka Mkoani wana week 3 wanalala nje na kupika.
Kwanini msiboreshe Vifaa na Madaktari wa kutosha Hospital za Mikoani kuwapunguzia gharama za Malazi , Nauli & Matibabu kuja kuuguza huku DAR
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi unaolenga si tu kutoa taarifa, bali kuelimisha na kuhamasisha fikra pana za kijamii.
Anajitofautisha kwa uwezo wake wa kuchambua masuala magumu kwa utulivu na umakini, akitoa hoja zenye mizani na ushahidi badala ya mihemko. Uandishi wake unaonesha nidhamu ya kitaaluma, heshima kwa wasomaji, na dhamira ya dhati ya kuona jamii inapata maarifa sahihi ili kufanya maamuzi yenye tija. Huu ni uandishi unaojenga, si kubomoa.
Katika mazingira ambayo mara nyingi yanakumbwa na kelele za taarifa zisizo na kina, Khalifa Said anasimama kama mfano wa mwandishi anayezingatia ukweli, uwajibikaji na maadili ya taaluma. Ni aina ya uandishi unaohitajika zaidi katika kujenga jamii yenye uelewa, haki na mwelekeo sahihi wa maendeleo.
Kwa mantiki hiyo, ni wajibu wa jamii, wasomaji na wadau wa habari kuunga mkono kazi zake na kuenzi mchango wake katika kuendeleza uandishi wa kina, huru na wenye uwajibikaji. Kuunga mkono uandishi wa aina hii si tu kumsaidia mwandishi mmoja, bali ni kulinda mustakabali wa ukweli, haki na mjadala wa maana katika jamii yetu.
Sababu ya ukatili wa Samia Suluhu, Tundu Lissu hajahudhuria hospitali mwaka mzima kwaajili ya check-up anazofanya kila baada ya miezi mitatu. Tunajua lengo ni kumdhoofisha kiafya na/au kukusudia kumuuwa. Endeleeni. Haitakuwa business as usual I promise!
Naishauri serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kufuta vyama vyote vya siasa na kuondoa mfumo wa vyama vingi kwa ujumla ili kuondoa sababu ya KUTEKA na KUUMIZA watu kwa kuchagua upande wasioutaka.
Turudi enzi za NYERERE tujenge nchi ya chama kimoja, otherwise MTATUMALIZA.
‼️SERIKALI HARAM YA IDD AMIN MAMA IMEPANGA KUMUUA MHE. LISSU KWA RISASI‼️
Nimejulishwa kwamba baada ya Serikali haram ya Idd Amin Mama kuona mbinu zao zote za kutaka kummaliza Mhe. Lissu huko Gerezani zinavuja sasa wamekuja na mpango mwingine.
Mpango huu unaratibiwa na Paul Makonda na Faustine Mafwele.
Wamepanga kwamba kesi ya Mhe. Lissu itakapoanza kusikilizwa Mahakama ya rufani, atabadilishiwa Askari Magereza wale ambao huwa wanapanda nae gari moja kwa ajili ya kumlinda kila wanapompeleka na kumtoa Mahakamani badala yake wanaletwa Askari wa KMKM kutoka Zanzibar hao ndo watakuwa wanapanda nae gari moja na watavalishwa nguo za Askari Magereza ili wasishtukiwe.
Wamepanga kwamba mara baada ya kesi kuhairishwa Mhe. Lissu atakapokuwa anatolewa Mahakamani kurudishwa Magereza wakiwa njiani convoy ya Magereza itavamiwa na watu wenye silaha kisha watawafyatulia risasi kutakuwa kama kuna majibizano ya risasi then wale KMKM ambao watakuwa nae ndani ya Gari, watamuua kwa risasi humo humo ndani ya gari.
Then Serikali haram itakimbilia kwenye media kusema kwamba kauwawa na watu wasiojulikana so wanawasaka watu wote waliohusika kwenye shambulio hilo ili wasionekane kwamba ni wao.
Wamepanga mpaka watu wakuja kuwatetea kwenye mitandao ambao watakuwa wanasema Serikali haram haihusiki na kwamba kama ingetaka kumuua basi ingemuulia Magereza.
Yani Nduli Idd Amin Mama ameuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu, ameiba maelfu ya miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya Halaiki ili kupoteza ushahidi.
Tangu aingie madarakani hadi leo kateka na kupoteza watu zaidi ya 300 lakin bado hajatosheka na sasa anataka na damu ya Mhe. Lissu.
Wapendwa kama tusipompambania Mhe. Lissu hawa watu watammaliza huku tunaona maana mpaka sasa wameshagundua kwamba hawana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani ili wamnyonge ndo maana wanapanga njama za kutaka kumuua kwa risasi akiwa bado mikononi mwao.
Idd Amin Mama anamchukia Mhe. Lissu kiasi kwamba anatamani kuona akiuwawa ili asionekane tena kwenye uso wa Dunia, yote ni kwasababu Mhe. Lissu kakataa biashara ya UDALALI WA SIASA ni mtu mwenye msimamo thabiti ambao Idd Amin Mama na washirika wake wanautafsiri msimamo huo kwamba ni kiburi.
Jambo moja ambalo wanatakiwa kulitia akilini ni kwamba kama wakithubutu kutekeleza huo mpango wao wa kumuua Mhe. Lissu hii nchi haitatawalika yani ya Maandamano ya Oktoba 29 itakuwa cha mtoto.
Happy Easter to you viongozi imara msioyumba @TunduALissu@HecheJohn
Siku mlipochaguliwa kuwa viongozi wakuu wa @ChademaTZ2 mlibadili historia ya nchi
Mmeweka alama kubwa na Mungu awabariki na familia zenu muendelee kusimama imara
Pasaka Njema!
Kuna Shamba la Miti (Pines) Kilolo Iringa.
Anauza mzee wangu mmoja kanyooka sana.
Lina Ekari 100.
Lina hata 2 za ekari 50/50.
Miti ina miaka 10 (Tayari kwa Mavuno)
Ekari moja anauza 900,000/=.
Karibuni kwa maongezi na mawasiliano.
0762344677
Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama.
Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television.
Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo.
Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua.
REPOST 200