Lissu is a very intelligent man, it's not that he didn't know they would refuse to be witnesses, he knew, but he called them deliberately so that if they refuse it means they have no information at all about treason since they are the heads of the intelligence agencies.
UHAINI, ambalo ni kosa kubwa kuliko yote ndani ya Jamhuri tena dhidi ya Kiongozi mkuu wa Chama cha Siasa nchini, DPP anashindwa kuleta MASHAHIDI MUHIMU wanaopaswa kujua kilichotokea! Hakuna CDF, IGP, DGIS & DCI. DPP ameshindwa kuleta SSH & viongozi wengine wa Kiserikali ili kuthibitisha ni namna gani WAMETISHIKA!
Badala yake, DPP analeta dereva bodaboda, wauza machungwa & wengine toka vijiweni ambao hawahusiki kabisa na masuala ya KIUSALAMA ya Nchi. Yaani, DPP ameokoteza tu vijana mitaani ili kutoa ushahidi tena kwa KIFICHO!
Lissu akaona isiwe shida, akataka awalete WAHUSIKA wenyewe, wanakamati ya Usalama ya Taifa. Mahakama ikatoa maamuzi KULINDA wanasiasa. CDF & IGP tukaambiwa wako nje ya nchi, Kingai akatii wito lakini kagoma kutoa ushahidi!
Binafsi, nina amini, Lissu alijua fika hawa watu watalala mitini, aliwaita kwa kusudi la kuweka MTEGO, wakanasa. Kama Kingai et al wangekuwa wana AKILI ZA KUTOSHA, wangetoa tu ushahidi. Kitendo cha wao 'kutupa taulo' wakidhani wanamkomoa Lissu, ni MISTAKE. Kiufupi wamesaidia UTETEZI wa mtuhumiwa KUIMARIKA zaidi.
Unaesoma ujumbe huu, jiulize tu kama hii kesi si ya KISIASA, kwanini mashahidi wote toka Serikalini WAMEGOMA kutoa ushahidi! Watu ambao tulitegemea watakuja kutueleza nini kilitokea.
Mwisho, sote kwa pamoja tuseme LISSU HANA HATIA.
You can walk into a Catholic church almost anywhere on earth and know exactly where you are.
You could be in Rome, Poland, Kenya, Mexico, the Philippines, or sitting in a nearly empty parish in Chester County on a Tuesday morning. You may not understand a word being spoken, but you will still recognize the Mass. You will know when to stand, when to kneel, what is happening at the altar, and why everyone came.
That alone is incredible. But then you remember what it took for the Mass to survive.
It was offered in catacombs when Christians had to hide. It was offered in prison camps, during wars, in Irish homes when the faith was persecuted, and in underground churches where being caught could cost people everything. Priests risked their lives to celebrate it. Catholics risked theirs just to be there.
Kings died. Empires collapsed. Borders changed. Whole countries disappeared.
The Mass continued.
And now I get to walk into my church on an ordinary weekday morning and step into the same worship Catholics have carried across centuries.
That is what gets me.
Catholicism is not tied to one country, one culture, one preacher, or one generation. The Church is bigger than all of that.
You can cross an ocean, walk through the doors of a Catholic church, and still know exactly where you are.
Home.
Hii taarifa ni kubwa and beyond politics - this is a global human rights award
Tundu Lissu is more than deserving 🙏🏽
Tundu Lissu anastahili hii tuzo muhimu ya Sakharov ambayo ni ya kimataifa na si ya kisiasa bali ni ya kutambua harakati zake za haki za binadamu!
Tuzo ya Sakharov ni tuzo ya heshima kwa watu binafsi au makundi yaliyojitolea maisha yao kulinda haki za binadamu na uhuru wa mawazo. Tuzo hiyo, iliyopewa jina la mwanasayansi na mpingaji wa sera za serikali wa Urusi, Andrei Sakharov, ilianzishwa mnamo Desemba 1988 na Bunge la Ulaya. Orodha fupi ya wagombea huandaliwa kila mwaka na Kamati ya Mambo ya Nje pamoja na Kamati ya Maendeleo ya Bunge la Ulaya.
Tundu Lissu ni icon wa Taifa na anaelewa nafasi yake katika historia
Mungu aendelee kumwongoza ✊🏽
#FreeTunduLissu
Leo baada ya kesi kuhairishwa, nimemuomba Mwenyekiti @TunduALissu atupe ujumbe wa siku. Kwa kuzingatia leo ni siku ya demokrasia, Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania – “Demokrasia haidondoki kutoka mbinguni; inapiganiwa na ina gharama zake. Ukitaka demokrasia, lazima uwe tayari kulipa bei inayotakiwa na historia.” #FreeTunduLissu
Ni ukweli usio pingika kwamba, kwa sasa Mh- HECHE ndiye Mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi Tanziania.
Na hii inathibitishwa na namna UMMA unavyosimama naye katika Kila propaganda inayotolewa na VYAWA.
Ukiweza kasome comments katika Kila propaganda dhidi ya HECHE 😃
🚨 WOW! The crowd ERUPTED when SecWar Pete Hegseth said: “As long as I have breath, I will NEVER allow anyone from blocking us from saying the TRUTH — Christ is King. He died for our sins. We are forgiven. He will come again in glory. Amen."
🙏👏🇺🇸
Lissu amesema wazi hapa yeye mambo ya mapendano sio yake, atapambana tu
Nimegundua kitu kimoja, ukichukua kazi ya Abdul lazima udhalilike na utotumia akili kabisa, Kazi za Abdul zina changamoto kubwa sana kwenye matumizi ya ubongo
Sasa sijui uwa yeye anaamua kila kitu mpaka maneno ya kuongea au ni laana ya kufanya hizo kazi za Abdul ?
Yaani mtu anadharirika na haoni kwamba hapa tayari nishakula aibu anakomaa tu
TESIS PROTESTANTE:
«¿Cómo podía Jesús darles a comer su cuerpo y a beber su sangre en la Última Cena, si todavía no había muerto ni se había realizado el sacrificio de la cruz? Por tanto, la Eucaristía solo podía ser simbólica».
¿Cuántas veces hemos escuchado esta pregunta de nuestros amigos protestantes cuando el católico defiende la presencia real de Cristo en la Eucaristía?
Esta semana abordaré esta cuestión en tres entregas.
Primera entrega: analizaremos los fundamentos bíblicos, comenzando por la teología de los Evangelios sinópticos y del Evangelio de Juan, atendiendo a sus respectivos enfoques y a la relación entre la Última Cena, la Pascua y el sacrificio de Cristo.
Segunda entrega: profundizaremos en la teología sacramental de la Eucaristía, para comprender qué significa que Cristo esté realmente presente y por qué la Eucaristía no puede reducirse a un mero símbolo o recuerdo subjetivo.
Tercera entrega: abordaremos la cuestión desde el enfoque escolástico, particularmente desde Santo Tomás de Aquino, para concluir con la doctrina definida por el Concilio de Trento.
Mimi mwanaharakati najivunia pia!
Tundu Lissu ni mwanaharakati aliyeamua kuingia kwenye siasa kuendeleza harakati kama Nyerere na Mandela
Mtu akikwambia ye ni professional mwanasiasa hana kazi nyingine wala hana harakati, huyo ni mjasiriamali wa kisiasa!
Mpooo!?
#FreeTunduLissu
HAPPY BIRTHDAY! Pope Leo XIV celebrates his birthday as the first American pope in history, a groundbreaking chapter for the Catholic Church.
The Chicago native has captured attention around the world, meeting with U.S. leaders including Vice President JD Vance and Secretary of State Marco Rubio, while his love for his hometown and Chicago sports has given Americans another reason to feel connected to the history-making pope.
@godbless_lema Ninakuunga mkono mr Lema huhitaji kulipiza kisasi unalipa ubaya kwa wema. Huu ni ukomavu wa ki-Nelson Mandela wa SA.
Ukimjua Mungu vema na "NENO" lake huhitaji kujenga chuki. Yesu Kristo aliwasamehe watesaji na wauaji wake. Hatuhitaji kisasi bali upendo.
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani.
Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana kwa hoja hakuhitaji matusi, dhihaka wala chuki.
Lissu amekaa gerezani takribani mwaka mmoja na miezi sita, akikabiliwa na kesi ambayo sisi tunaamini ni ya kisiasa na isiyo na haki. Anafahamu yaliyompata na serikali iliyomweka mahabusu. Lakini alipofahamishwa kuhusu msiba wa mume wa Mama Samia, akiwa mbele ya mahakama, alitoa salamu zake za pole kwa wafiwa mara mbili.
Huu si unyonge. Hii ni hekima, utu na ukomavu wa kiwango cha juu.
Na si mara ya kwanza. Aliwahi pia kumtetea Sabaya katika kesi yake Moshi. Wengi tulishangaa, nami nilishangaa. Lakini nilipomuuliza baadaye, nilielewa kwamba kwake haki haichagui upande.
Hilo ndilo fundisho kubwa tunalopaswa kulibeba. Tunaweza kupinga serikali, kudai haki na kupigania demokrasia bila kujenga harakati zetu juu ya chuki na kisasi.
Lakini kama tunasema tunampenda Lissu, basi pale anaposema ana pumzi ya kuvumilia mateso na kukaa gerezani, sisi tunapaswa kuchukua kauli hiyo kama mwito wa ujasiri, si ruhusa ya kukaa kimya.
Kama tunaamini kesi hii si ya haki, basi viongozi tunanapaswa kuwaongoza wananchi katika hatua za amani, kisheria na kidemokrasia za kudai haki, pengine kwa njia ya maandamano. Sio kwenye keyboard tu na microphone.
Demokrasia inahitaji wananchi wanaothubutu kusimama kwa kile wanachoamini. Na kama siku moja tutapata nafasi ya kuongoza nchi hii, tusije tukarudia makosa tunayoyapinga leo. Lazima tutawala kwa haki, utu na dhamira njema.
Mimi nitasimama kwenye upendo, utu na haki siku zote ktk kazi hii. Anyway , hekima ya Lissu kutoa pole kwa Mama Samia was a top-class thinking. Inaonyesha kwamba hata unapoteseka, unaweza kuchagua utu, hata unapopinga, unaweza kukataa kisasi.
Wakati mwingine Mungu hataki umshinde adui yako kwa chuki, bali kwa upendo, hekima na maisha yenye ushuhuda kwamba uovu wake haukukushinda.
Mimi niko tayari kusimama kwa amani na kwa ujasiri. Katika hatua ya kupigania uhuru wa Lissu kuwa nje ya kuta za gereza na sio kusema ana pumzi ya kukaa jela hata maisha. Tuna watu wengi sana Chama hiki , pumzi yetu itoke mtandaoni , fikeni tu hata mahakamani kwa sasa na huku viongozi wakuu watusaidie kutafakari jambo muhimu la haki , sheria na amani.
“You don’t have to hate those who hurt you. Sometimes the greatest revenge is to rise above them with peace, dignity, and success.”
Thank you !!
If you think miracles stopped after the Bible, this World War II account about Padre Pio may challenge you.
During the war, Foggia and much of the area around it were being bombed. But according to testimony later included in Padre Pio’s cause for canonization, something strange kept happening when Allied pilots flew near San Giovanni Rotondo, the town where Padre Pio lived.
Pilots began coming back with the same strange story. They said a friar appeared in the sky and stopped them from dropping their bombs.
At first, many people laughed. But reports kept coming from different pilots, so Italian Air Force General Bernardo Rosini decided to see what was happening for himself.
According to the testimony, when the planes reached the target, the pilots saw a friar in the sky with his hands raised. But that was not all. The bombs reportedly released and fell into the woods, while the planes turned away without the pilots controlling the change.
San Giovanni Rotondo was spared.
But the pilots still had one huge question.
Who was the friar?
They were told about Padre Pio, a Capuchin priest living in the town. So after the war, the general went to the convent with other pilots.
The moment he saw Padre Pio, he reportedly recognized him as the friar from the sky.
But before he could explain why he was there, Padre Pio is said to have looked at him and said:
“So, are you the one who wanted to eliminate us all?”
Catholics are not required to believe this story. But it was preserved in testimony connected to Padre Pio’s canonization cause, and the Church later declared Padre Pio a saint.
Maybe the real question is not whether God can still do things we cannot explain.
It is whether we still believe He can.
Do you believe God still works miracles today?
💬 Be honest: if you had been on that plane and saw what those pilots claimed to see, what would you have done afterward?
St. Thomas Aquinas on Islam:
“On the other hand, those who introduced the errors of the sects proceeded in contrary fashion, as is clear from Mohammed, who enticed peoples with the promise of carnal pleasures, to the desire of which the concupiscence of the flesh instigates.
He also delivered commandments in keeping with his promises, by giving the reins to carnal pleasure, in which it is easy for carnal men to obey. Also, the lessons of truth which he inculcated were only such as can be easily known to any man of average wisdom by his natural powers—in fact, he mingled the truths which he taught with many fables and most false doctrines.
Nor did he add any signs of supernatural agency, which alone are a fitting witness to divine inspiration, since a visible work that can only be from God proves the teacher of truth to be invisibly inspired, but he asserted that he was sent in the power of arms, which sign is not lacking even to robbers and tyrants.
Again, those who believed in him from the outset were not wise men practiced in things divine and human, but bestial men who dwelt in the deserts, utterly ignorant of all divine teaching, and it was by a multitude of such men and the force of arms that he compelled others to submit to his law.
Lastly, no divine oracles of prophets in a previous age bore witness to him; rather, he corrupted almost all the teaching of the Old and New Testaments by a narrative replete with fables, as one may see by a perusal of his law.
Hence, by a cunning device, he did not commit the reading of the Old and New Testament books to his followers, lest he should thereby be convicted of falsehood. Thus it is evident that those who believe his words believe lightly.”
St. Thomas Aquinas, Summa Contra Gentiles (Book 1, Ch. 6)
Kuna vitu vya ajabu imagine SATIVA anajiona anaijua CHADEMA kuliko LEMA, anajua 2017 Lema alikaa Rumande miezi 4 na wabunge walizuiliwa kumuona kisa yeye CDM, anajua lema kagombana na ndugu zake (Mbowe) kisa CDM, Sativa aseme kaifanyia nini CDM hadi ajione yeye ni Mzee MTEI.
M/kiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi. Tukiwa mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote.
Lissu ni mtu mwenye upendo mkubwa kwa watu na anayesimamia haki. Ninaamini kama angekuwa nje ya gereza, angefika Unguja mwenyewe kutoa pole na faraja. Kwa bahati mbaya, akiwa bado yuko gerezani, hawezi kutoka na kufika mwenyewe kukupa pole katika kipindi hiki kigumu.
Nami nikupe pole sana kwa kumpoteza mume wako mpendwa. Jipe moyo na uimarishe imani yako katika tumaini la Mungu. Mungu awape nguvu, faraja na uvumilivu wewe, watoto na familia nzima.
Let’s Love Lead, Mama! Get Lissu out of the prison walls!
@godbless_lema Kwahili Lema uko sawa. Adui unamtakia mema na siyo ubaya. Ukristo hauruhusu kulipiza kisasi, kisasi ni cha Mungu mwenyewe. Mkubali msikubali.