@zoetjesheeftX kama bado huamini mwanamke anaweza kufanya hivyo pole ila kumbuka mwanamke ni binadam sio malaika tena anaweza kuwa katili kuliko mwanaume .
@Geeee_123@fintanjr_ " kama bahati anayetoa ni mwenyezi Mungu mtoa vyote kwa watu wote " ๐ถin mr Nice voice, kama ww unaona watoto wako pengine wanayo bahati kuliko watoto flan bac omba maisha marefu kuna muda tu utajifunza kitu tofauti na mtazamo wa awali .
@HassanNaheed1@LarryMadowo watu waliuliwa ambao hata hawakutoka majumbani kwao alaf media zetu zikawa kimya mlitaka lipute tu kama hakijatokea kitu ? au