YES! A DESERVED WIN! A true love for football. A well deserved win for Senegal!
After attempting to win the AFCON two times (2002) beaten by Cameroon and (2019) beaten by Algeria, now for the third time in the final, Senegal are the Champions of Africa Nation for the first time
@INFLUENCERjr Si walisema Argentina ni Di Maria? Imekuwaje tena anakuwa Messi? Nilidhani kwa kuwa Di Maria kastaafu timu ilitakiwa ikose mchezaji wa kuchungwa
@BarcaUniversal@mundodeportivo Sometimes player they mess up with their decision. How can you join a mid club like Atletico? A club which their big success is Europa League and eliminating big clubs in the competition? Player with big dream think wide before joining such useless club. Your ruining your career!
@ayubu_madenge Kitu umefanya hapa ni ile wanasema kutoa tafsiri yenye lengo la kueneza maudhui unayotaka wewe kuliko uhalisia wa kile kilichoandikwa. Unumbe una maneno mengi sana lakini ww umeona uchambue unayotaka ww ukaacha yale mengine.
@andricy1m@INFLUENCERjr Kabisa. Na kuna wawakilishi wa Zanzibar bungeni zaidi ya 50 wanawakilisha watu Milioni mbili na ushee. Wanalipwa mshahara kama wabunge rasmi wa kuchaguliwa
@tanprograma@Awesially Futa hii tweet, inaleta hasira sana. Uhai huwezi linganisha na kitu chochote. Ku support hilo unahitaji kuwa na roho mbaya sanaa
@IgoraIrene32964 Sema mademu wa kibongo njaa kali sana. Ni kama wanakuwaga na nn tu, akishakuona tu unajiweza utaanza kupewa risiti utadhani umekuwa baba mdogo. Aisee hata subira hakuna. Ukitaka kula cha mtu kuwa na subira. Ndo mwanzo tu kesho unaeleza changamoto yako! Aisee wanakera sana.
@mchina_jr94958 "Ukitaka kwenda huko unatumbukia kwenye handaki ambalo hutatoka. And I know you are acting under hand break,, nakuhurumia kuhusu hilo"
Mwandishi kawa mpole๐
@ayubu_madenge Wana beach kali kama Ibiza, wana Club mbili kubwa sana Duniani Real Madrid na Barcelona, wana mji uliopangiliwa kwa ustadi mkubwa sana na ni moja ya miji bora barani Ulaya, Barcelona. Spain wana aina chakula bora sana na utamaduni mzuri.
@emabilly2001 Acha ujinga. Mnauziwa narrative kirahisi rahisi tu mnaanza ku support. Ww unaujua ukweli wa hilo? Watu wamekufa kwa kuuliwa wakiwa nyumbani mnaanza kujadili ujinga kama huu? Kwamba watu walilipwa? Acheni kuwa wajinga kiasi hiki. Msichojua waliofanya haya hawataki kuwajibika.
@INFLUENCERjr Hapa kuna nondo zinahitaji brain kubwa kuishi nazo. Kuna watu unakuta hana post ila kwenye comment section ana mwaga madini hadi unashangaa. No video, picture or graphics, just pure text. Unaipenda Twitter ukiwa mtu wa kufikiria sana na uwe na kifua kipana and ready to learn.