@cleansheet_1 Mmeahamia tena PSG, kwan madrid pale pale hakuna shilingi nane, umfananishe na na mestro PEDRI?๐๐๐ mna mahangaiko sana nyie๐๐
@YoungAfricansSC Yanga Bado hatuna kocha, hajui kufanya sub kabisa, pia msimu ujao hatuhitaji namba sita kama damaro(mvunja Kuni), Yao is back๐๐, pia mfumo wa ushindi yanga ni 4-2-3-1 striker awe mmoja, pia @Caamil8 msimu ujao sajili kwa makini tunakuaminia mkuu๐๐โฅ๏ธ
@YoungAfricansSC Musonda.... kocha na benchi la ufundi lote, mlifikiria nini hasa๐ฎ,musonda over paccome na chama โโโ, kwenye mechi yenye uhitaji kama hii....................................