"Nilichaguliwa bila mastahili yangu. Sasa, kwa hofu na kutetemeka, ninakuja kwenu kama ndugu, ambaye anatamani kuwa mtumishi wa imani yenu na furaha, nikitembea nanyi katika njia ya upendo wa Mungu, kwa kuwa anataka sisi sote tuungane katika familia moja."
- Papa Leo XIV
hii haikubaliki. there's such a thing as "due process," na unapokwenda kwenye eti "inspection," ukiambatana na camera, huku ukitupa shutuma nzito nzito, bila ya anayeshutumiwa kueleza their version of the story, hiyo siyo "law enforcement." ni uhuni na uholela usiokubalika.
Ndugu Wakatoliki, ni kero kuona watu au akaunti zinazochukia Ukatoliki na Wakatoliki wakichapisha maudhui ya kejeli na mzaha kuhusu hayati Papa Francis baada ya kifo chake.
Usijali. Hao wanajidhihirisha jinsi walivyo. Wanauonyesha ulimwengu matunda ya roho anayekaa ndani yao. Matendo hayo ni pamoja na uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda na mambo yanayofanana na hayo (Gal 5:19-21)
Sisi tuonyeshe ulimwengu matunda ya Roho Mtakatifu anayekaa ndani yetu ambayo ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. (Gal 5:22-23).
Usinaswe ma mitego yao kujihusisha na mipasho iliyojaa hasira. Hayo hayana umuhimu kwetu kwasasa.
Tuendelee kusali kwa ajili ya roho ya Papa Francis. Tuombee Mkutano Mkuu ujao wa Makadinali. Tusali kwa ajili ya umoja wa Kanisa. Tuwe watulivu wakati huu wa maombolezo na kipindi cha mpito.
Kristo amefufuka kweli, Aleluya!
Msaada kwa Mdau yoyote ambaye anaelekea au anafahamu mtu anayeeleke Dodoma usiku huu. 🙏🏾
Pia kwa atakayeguswa kumchangia ndugu yetu 🙏🏾.
Namba ya mawasiliano ya ndugu yetu ni 0654604166
Nmewaletea classy Abayas from Dubai for Ramadhan & Eid🥰karibuni mniungishe🙏🏽
Price range 65000-130000 TSHS
Sizes 52-60
Available for pick up & Delivery
Call/ Whatsapp 0676335537
📍Mikocheni, Rose Garden Road
Kijana mwenzetu huyu amekuja hapa Ofisini kwangu anaitwa Kelvin Kivuyo (@Afrikan_z) anaomba kazi yupo tayari kufanya kazi yeyote ile halali. Amemaliza Chuo mwaka jana Bachelor in Shipping and Logistics Management Chuo cha NIT.
Binafsi simjui ila anaonekana ana lugha nzuri na muadilifu.
Mawasiliano yake :0624083975