@anuskills3@Elparton112@OriginoZee17 Watu wenye akili hizi huwa sina cha kuwashauri zaidi kumwambia tafuta hela uache chuki za kijinga na wenye IPhone ๐๐.
@its_mubah@Makaveli_255 Hii naweza kuwa na ushahidi nayo kuna Mtoto wa Mjomba kwa mujibu wa baba yake alikuwa ni kiburi balaaaaa kampeleka la kwanza Dogo mwaka jana dogo karudi kanyooka.
@Roma_Mkatoliki Inawezekana Tp Mazembe baada ya kuondokewa na wachezaji wao muhimu na hawaruhusiwi kusajili kwa msimu 2, wamembadilisha kipa wao no 1 na kuwa Teka.