Burudani za ufunguzi wa Main FM Cup 2024 zitahudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma (mgeni rasmi) Dkt. Rashid Chuachua katika uwanja wa Kawawa-Ujiji.
Ni Jumapili hii ya Oktoba 27, 2024 mechi ya ufunguzi ikizikutanisha Bangwe Beach Combine Sc dhidi ya Mlole FC.
#mainfmcup2024
Main Fm Tanzania inakutakia heri ya sikukuu ya wakulima duniani.
#NaneNane
..........................
Powered by
@vertexsecuritiestz
@apexattorneysadvocates
Main Fm inakutakia heri ya maadhimisho ya Sikukuu ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Saba Saba).
..........................
Powered by
@vertexsecuritiestz
@apexattorneysadvocates
#BUNGENI: Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimamizi wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya Wizara, na kamati ya
usimamizi wa mikopo hiyo katika ngazi ya Mikoa, Halmashauri na kata.
Mhe. Katimba amesema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Christina Christipher Mnzava akitakakujua
(programmers) ambao wangeweza kumtengeneza akaongea Lugha zote (Kiswahili, Kifaransa n.k) sio wale wamekaa pale ukiwauliza wana-google ndo wanakwambia, kwa sisi watu wa teknolojia pale Waziri umetudanganya!" Amesema Mbunge, Condester Sichwale.
#BUNGENI: "Katika hili naomba nikushauri sisi vijana wa Kitanzania wenye professional ya teknolojia, tunaomba kwenye wizara yako tutengee siku moja kila mwezi tuwe tunakutana kushauriana kuhusu teknolojia na ninakuahidi utakutana na vijana wengi wa kitanzania na wazuri zaidi