Main FM 91.7 Kigoma, Redio ya Kwanza Kigoma inayokupa burudani, habari mbalimbali na vipindi vya kijamii.kutoka Kigoma Mjini - Mwanga #Kigoma
+255677 775 533
Timiza jukumu lako la kutoa taarifa ya vitendo vyote vya Rushwa na viashiria, vishawishi na kila aina ya ukiukwaji wa taratibu unaohusisha Rushwa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa. @TakukuruTz
@mainstreammedia_tz
#uchaguziserikalizamitaa2024#rushwa#takukuru
#NISHATI:Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umeme kwenye vitongoji utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo za kusafirisha umeme.
Soma zaidi https://t.co/Z9OAykRUbi
#HABARI: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo.
Soma zaidi https://t.co/7pyqrVlJsX
#HABARI: Tanzania na Urusi zasaini vipengele vya mfumo wa makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa Biashara na Uchumi wakihitimisha Mkutano wa kwanza wa tume ya pamoja ya Ushirikiano wa Biashara na Uchumi baina ya nchi zao jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi https://t.co/QhRaVZRqDO
#SikuMpya: Leo tumezungumza kuhusu Ufaulu wa watoto kielimu unavyoathiriwa na malezi kutoka kwenye jamii na mazingira yanayomzunguka na tulikuwa na Mwalimu Jeremiah Kasogota James (Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Muungano), Bi. Jackline Elias Mwamba (Mzazi),
Burudani za ufunguzi wa Main FM Cup 2024 zitahudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma (mgeni rasmi) Dkt. Rashid Chuachua katika uwanja wa Kawawa-Ujiji.
Ni Jumapili hii ya Oktoba 27, 2024 mechi ya ufunguzi ikizikutanisha Bangwe Beach Combine Sc dhidi ya Mlole FC.
#mainfmcup2024
Main Fm Tanzania inakutakia heri ya sikukuu ya wakulima duniani.
#NaneNane
..........................
Powered by
@vertexsecuritiestz
@apexattorneysadvocates
mnamo Julai 1, 2024 na Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa. @TumeYaUchaguzi
..........................
Powered by
@vertexsecuritiestz
@apexattorneysadvocates
Mkurugenzi Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima akiambatana na watumishi wa Tume walipotembelea Ofisi za Main Fm na kufanya kipindi (Siku Mpya) kuelekea Uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambao unatarajiwa kufanyika Kitaifa Mkoani Kigoma
(programmers) ambao wangeweza kumtengeneza akaongea Lugha zote (Kiswahili, Kifaransa n.k) sio wale wamekaa pale ukiwauliza wana-google ndo wanakwambia, kwa sisi watu wa teknolojia pale Waziri umetudanganya!" Amesema Condester Sichwale
#mainfmupdates
#BUNGENI: "Katika hili naomba nikushauri sisi vijana wa Kitanzania wenye professional ya teknolojia, tunaomba kwenye wizara yako tutengee siku moja kila mwezi tuwe tunakutana kushauriana kuhusu teknolojia na ninakuahidi utakutana na vijana wengi wa kitanzania na wazuri zaidi
Uongozi na wafanyakazi wa Main Fm unawatakia Waumini wa dini ya Kiislamu na Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Eid al Fitri.
#mainfmtanzania
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
https://t.co/venj2Dc6eV
#instagram@mainfmtanzania#facebook@mainfmtanzania
https://t.co/BIDKE0QgpI
Sikiliza Main Fm radio muda huu. Meneja TEMESA Kigoma anazungumza muda huu kuhusiana na kazi za Wakala Mkoani Humo. @mainfmtanzania