I cant imagine what that jamaa who lost his car has gone through. Mimi wakati ile nilikua napiga ulevi nakwambia kuna siku niligusa mfuko namna hii nikaskia hakuna simu,my itel A190 was gone, pombe yote ya 1200 ilikua kwa kichwa ikadilute. Nikarudi sober,Na vile nilikua nimengโengโana kulewa aki. Nikawacha kuskia,all the music in the background was muted by my ears. Nikifikiria Nangos imepotelea wapi
Now imagine not finding your car where you parked it. Hapa ata unawesa poteza fahamu bwana, unafaint,tens unaamka unalipa nduthi unarudi mpaka nyumbani kuangalia kama uliisahao uko. Ukiikosa unarudi klabu tena mbio. Unapigia ule rafiki yako anakuanga mjinga ukitamani aseme niyeye aliichukua akuprank,anakwambia ndugu yangu mimi niko uganda. Woi! Woi! Mimi nikinunua gari naona nitakua natoka na steering nikiingia klabu. Bwana Hamtanirudisha nyuma nikiona. May All thieves Including Ruto get struck by lightning !