Miaka mitano nyuma ungeniambia nitafika hatua nilizofika leo ningeona utani, inanipa moyo kuwa hatua ndogo nazopiga kila siku zinaonekana na kesho yangu itakuwa yenye maana kubwa zaidi🔥🤲🏽 Alhamdulillah
May Allah bless every woman chasing a dream with sincerity, patience, and barakah. 🤍✨
Serving ladies is so refreshing🤌🏾
Every single day you smell nice fragrances, seeing beauty faces, nice curves, titz, beautiful smiles, best outfits, nice legs, soft voices and get warm hugs.🤗
Wito kwa wafanyabiashara.
Jana i nilienda Sabasaba, si kununua vitu ila kufanikisha registration zangu zilizokwama zoote na nimefanikiwa.
Nilienda taasisi zote nilizotaka na zote zipo sehemu moja VETA, BRELA, TRA, NACTIVATE yaani nilikuwa tu natoka mlango huu kwenda mwingine.
Kama una jambo lako haliendi, nenda Sabasaba utapata msaada woote at once.
Good day❤️❤️
✨ Karibu LYNE Furniture & Interiors ✨
Tunatengeneza furniture za quality na Full interior designs zenye elegance, comfort na style ya kipekee.
Contact Us
Instagram Lyne_furniture_and_Interior
Call/Whatsapp +255783809061
Welcome to a new level of living with LYNE. 🤍
hivi anajua 600k Take home basic yake ni ngapi huyo? tena ukute ni permanent and pensionable, alafu ana access ya Loan marejesho sasa hivi mabank yanaenda mpaka 11 yrs so akisema achukue mkopo hamna hamna hakosi 35M. wengine sasa hivi tutachapa sabini akili zirudi factory setting
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Asanteni Sana.