Leo wanangu wa #NoReformsNoElection ni siku maalumu ya kukumbuka MASHUJAA wetu wa kupigania HAKI & DEMOKRASIA ya kweli. #ChademaMashujaaDay
Napiga LOKOO ya kushtukiza kujua nani bado yupo na sisi. Nakuomba hapo kwenye comment ndugu zangu wa #NoReformsNoElection
REPOST 500
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
🚨TAARIFA YA UTEKAJI.🚨
Boss kuna ndugu yangu ametekwa siku ya alhamisi tarehe 31--7--2025 majira ya saa sita na dakika 20+ Mkoa wa IRINGA Maeneo ya MASHINE TATU NG'AMBO CAFE MOJA INAITWA TWIGA.
Ilikuja gari aina ya TOYOTA CROWN NYEUPE walishuka maaskari wawili na na kwenye gari alibaki mmoja nyuma ambao walikuwa wakituo cha polisi kikuu cha hapa iringa mmoja akiwa mrefu mweupe anamwili wastani na mwingine mweusi mnene mrefu wasitani walitoa — Pisto wakamuonyeshea aende kwenye gari bila ubishi friendly ndo ikawa mwisho wa kumuona hapo.
MWISHO..!!
POLISI IRINGA @tanpol TUNAMTAKA NDUGU YETU.
NAOMBA REPOST 500
#KataaUtekaji
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎