@YerickoNyerereT haiba ya kiume kuwa na msimamo thabiti. Wewe upo upinzani ila kukicha kubomoa upinzani hivi kwa akili hiyo mnaweza kuwatoa mbogamboga kweli... Na ndio mnafanya niamini bora hao mbogamboga kuliko nyie matapeli.
@PresenterNoah france bingwa kaka. Hakuna timu yeyote ya kumzuia. Mengine tusubiri maajabu ya mpira. Argentina ukiacha jitihada zao inabaki kuwa timu yenye bahati zaidi.
@Bob_sanchoo ila hakuna anayeshangilia hivyo ni ushabiki wa messi na ronaldo wote ni best sema katika kuchangamsha na kuweka mmoja juu ya mwenzie All in All G.O.A.T ni MESSI