Uingereza, kuna msemo wao maarufu ambao unasema: “The King reigns, but the Prime Minister rules”(Mfalme anatawala, lakini Waziri Mkuu anaongoza)
Mfalme/Malkia hatawali nchi: Hawezi kutunga sheria, hawezi kupandisha kodi, wala kufanya maamuzi ya kisiasa. Ni nembo ya taifa na umoja (Head of State)
Nchi inaongozwa na Waziri Mkuu na Bunge, ambao huchaguliwa na wananchi kupitia kura. Hivyo, Serikali ndiyo inayoongoza. Nitafafanua kwa kirefu zaidi
Uingereza inafuata (Constitutional Monarchy) na Demokrasia ya Kibunge. Kuna mgawanyo kati ya kiongozi wa nchi (Mfalme) na kiongozi wa serikali (Waziri Mkuu)
Mfalme (The Monarchy) ndiye Kiongozi wa Nchi (Head of State), lakini hana mamlaka yoyote ya kisiasa. Jukumu lake ni la kisherehe na ishara ya umoja wa taifa
Mfalme hufungua rasmi Bunge na kusoma hotuba ya Mfalme (inaandikwa na serikali). Anapokea mabalozi na kufanya ziara za kiserikali kuwakilisha Uingereza
Sheria zilizopitishwa Bungeni lazima zisainiwe na Mfalme ili kuwa sheria. Lakini, hii ni taratibu ya kisheria tu; hawezi kukataa kabisa kusaini kwa sababu za kisiasa
Mfalme hukutana na Waziri Mkuu wa Uingereza kila wiki kwa mazungumzo ya siri. Ana haki ya kushauri, kuhimiza, na kuonya, lakini lazima abaki bila upendeleo wa kisiasa
Waziri Mkuu ndiye Kiongozi wa Serikali (Head of Government) na ana mamlaka halisi ya kiutendaji. Anasafiri na kuongoza sera za ndani na nje ya nchi
Ana nguvu ya kuteua au kufukuza mawaziri wa Serikali. Anasimamia mchakato wa kutunga sheria ndani ya Bunge kupitia chama chake chenye wabunge wengi
Ingawa Mfalme Uingereza ndiye Mkuu wa Majeshi kisheria, lakini Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye anayetoa amri za kijeshi/kuwajibika kwa usalama wa taifa
Mfalme wa Uingereza anawakilisha historia na utulivu wa taifa la Uingereza, wakati Waziri Mkuu anawakilisha matakwa ya kisiasa ya wananchi kwa wakati huo
Bunge la Uingereza ndio mhimili mkuu unaounganisha Mfalme na Waziri Mkuu (King-in-Parliament) ambapo mamlaka ya nchi yanagawanywa katika sehemu tatu:
House of Lords hawa ni watu ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Wajumbe wake ni pamoja na wataalamu, wanasiasa wastaafu, na viongozi wa dini
Wanapitia sheria. Wanaweza kuchelewesha au kupendekeza mabadiliko, lakini hawana uwezo wa kuzuia ikiwa House of Commons wamedhamiria
House of Commons; ndiyo chombo chenye nguvu zaidi, chenye Wabunge waliochaguliwa na wananchi. Hapa ndipo kodi zinapopitishwa na sheria kuu za nchi
Waziri Mkuu lazima awe mbunge kutoka House of Commons. Kila Jumatano, anajibu maswali magumu kutoka kwa wapinzani (Prime Minister’s Questions)
Mfalme haingilii Bunge, lakini ndiye anayekamilisha mchakato. Muswada hauwezi kuwa sheria (Act of Parliament) hadi Mfalme aweke saini (Royal Assent)
Mfalme ndiye anayevunja Bunge la Uingereza kuelekea uchaguzi mkuu, lakini mfalme wa Uingereza hufanya hivyo tu baada ya kushauriwa na Waziri Mkuu
Waziri Mkuu na Baraza wanapendekeza. House of Commons: Wanajadili na kupiga kura. House of Lords: Wanatoa ushauri wa kitaalamu. Mfalme: Anatia saini
Kisheria, mamlaka yote yanatoka kwa Mfalme. Majeshi ni “His Majesty’s Armed Forces” na Serikali ni “His Majesty’s Government. Hii kisheria inaitwa ‘De Jure’
Kiuhalisia (De Facto), nguvu zote zipo katika mikono ya Waziri Mkuu kwa sababu yeye ndiye anayewajibika kwa wapiga kura kutokana na chama chake kuchaguliwa
Ikiwa Mfalme atajaribu kutumia mamlaka yake kuzuia sheria ya Waziri Mkuu bila sababu za kikatiba, inaweza kusababisha mgogoro mkubwa wa kitaifa, Uingereza
Hivyo, Mfalme wa Uingereza ni kiongozi wa nchi (ishara tu, unaweza kusema ceremonial, utakuwa hujakosea), na Waziri Mkuu ndiye kiongozi wa serikali (mtendaji)
Katika muundo wa Uingereza, Waziri Mkuu ndiye kiongozi mkuu wa nchi kiutendaji. Haamriwi na Mfalme; badala yake, ndiye anayemshauri Mfalme nini kifanyike
Mfumo wa Uingereza unategemea mila na mizani ya nguvu kati ya bunge (Waziri Mkuu) na ufalme ili kuzuia mtu mmoja kuwa na nguvu zote (Absolute Power)
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia maneno haya nikiwa na umri wa kama miaka 40 hivi , sikukuelewa , sasa nimeelewa . Alikuwa anajisimulia maisha yake!
Miaka 58 inaweza kupita kwa kufumba na kufumbua.
Huyu ni mimi nikiwa na miaka 35…
na huyu ni mimi sasa.
Macho ni yale yale.
Lakini muda umebadilisha kila kitu kingine.
Nywele zimekuwa kijivu.
Ngozi imekunjamana.
Na uso uliokuwa ukivutia macho
sasa unapita bila kuonekana.
Tatizo si kuzeeka.
Tatizo ni kufikiri una muda mwingi.
Nilifikiri nitafanya baadaye.
Nitasema baadaye.
Nitaanza baadaye.
Lakini “baadaye” ilikuja haraka kuliko nilivyotarajia.
Ukweli ni huu:
Hupati muda wako tena.
Huwezi kuusimamisha.
Na hakuna nafasi ya pili ya kuishi miaka uliyopoteza.
Kwa hiyo kama kuna kitu unataka kufanya
anza leo.
Kama kuna mtu unahitaji kuzungumza naye ,mpigie sasa.
Kama kuna maisha unayotamani
anza kuyaishi leo, sio kesho.
Kwa sababu siku moja…
utakuwa umeshika picha ya wewe wa sasa.
Na swali pekee litakalobaki ni:
Uliishi kweli…
au ulisubiri?
Rev Msigwa
It has been a singular honour and a privilege to meet with H.E. Joaquim Chissano retired President of Mozambique, a highly respected statesman, in Maputo this week.
His perspective on the the liberation of Southern Africa and the situation post independence has been enlightening.
Huawei P30
128GB|Ram 6GB
Blue Color
Tsh 250,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector 📖
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🌷💕
UPDATES SHAURI LA KUPINGA MASHAIDI KUFICHWA KWENYE KESI YA MHE. LISSU
Part 3.
Sasa anaingia Dr. Ruge Nshala na anasema yeye hatatumia kipaza sauti.
Kiapo cha maandishi ni mbadala wa ushahidi utakaotolewa mahakamani. Na kiapo lazima kikizi matakwa ya sheria. Na sheria kwa sasa ni O.XIX of CIVIL PROCEDURE CODE inataka muapaji anayeapa akifanya rejea kutegemea maelezo aliyoelezwa na mtu mwingine anapaswa kuwa amemtaja na mtu huyo anapaswa kuapa ili ushahidi ule uwe na nguvu vinginevyo hicho kiapo cha maneno ya kusikia barabarani.
Hayo ni maamuzi ya mahakama ya rufaa katika kesi nyingi ikiwemo ni kesi ya Sabena Tecniques na kesi ya Lwitiko Mamaso. Hizi kesi zote mbili zinaelezea mambo hayo.
Mh. Jaji kama ambavyo maombi yanajieleza, ukiuangalia uamuzi wa mh. Mhini pale Kisutu unasema sababu za kuficha mashahidi ambao sio maaskari wa jeshi la Polisi watakuwa kwenye tishio la usalama na wanaogopa kuja kutoa ushahidi kwa hofu ya mashabiki wa mleta maombi yaani TUNDU LISSU.
Mh. Jaji kiapo cha THAWABU ISSA wakili wa serikali kinasema mashahidi wako kwenye tishio la usalama kutoka kwa mashabiki na wafuasi wa LISSU.
Sasa amesema hayo lakini hakuna majina, wala maelezo kuhusu mashahidi hao ili mahakama iweze kuamini hayo.
Kanuni ya msingi inasema mashahidi hao walipaswa kuapa na viapo vyao vilipaswa kuwepo na sio mahakama kuamini maneno ya kuambiwa ya wakili wa serikali. Ambae yuko kwenye tishio sio wakili wa serikali kusema kwa niaba.
Hayo ndio matakwa ya sheria kama ambavyo nimetaja hapo awali matakwa ya kiapo yanapaswa kuwaje na kujumuisha mambo gani? Kiapo ni ushahidi.
Katika mazingira haya tulihitaji viapo vya waliotishiwa viwepo ili mahakama iamue kwa kusema watu hawa maisha yao yako hatarini.
Pia katika kiapo chao hicho wanasema wafuasi wa LISSU wamefanya majaribio ya kutaka kujua majina ya mashahidi ili wawatishie wasishirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama.
Pia ilihitaji na narudia tena ilipaswa kuwepo pia kiapo cha watu wanaojua au kusikia matishio hayo.
Kifungu 110(1) (f)] ya Penal Code inasema mtu yeyote anayemtishia shahidi au kumuingilia anafanya kosa la jinai na adhabu ya kosa hilo inaweza kuwa miezi sita na kuendelea.
Tulitegemea mtu yeyote aliyefanya kosa hilo angekuwa amekamatwa na kufunguliwa mashitaka.
Na taarifa hizo zilizopo kwenye kiapo cha Wakili wa Serikali kuwa SACP Faustine Mafwele hajaapa kokote lakini wao wanasema ipo report ya Mafwele kuhusu hali ya usalama ndani ya jiji la Dar es salaam na hali za mashahidi hao.
Ni wasilisho letu ni kwamba haikutegemewa kwa HAKIMU kufanya kama alivyofanya wakati hakukuwa na kiapo cha waliotishiwa, waliotoa taarifa hizo na hata kiapo cha Mafwele nacho hakikuwepo hata kama kingekuwepo pia kisingeweza kuwa na maana yoyote kwasababu yeye hahusiki na masuala ya kiapo cha mtu anayeelezea kuhusu usalama wake.
Ni wasilisho letu kwamba aina hii ya ruling haipaswi kusimama na kuendelea kuachwa kama ilivyo maana iko kinyume na misingi ya kisheria.
Pia nimesoma Kiapo kinzani cha Jamhuri kinaungana na maombi yetu kama tunavyoyaomba. Kiapo chenyewe hakieleweki aliyeapa ni mwanaume au mwanamke. Wenzetu wameapa apa tu.
Kwa kumalizia ninachosema hakimu aliyapokea maombi, kiapo cha waleta maombi kule kisutu na submission zao bila hata kufikiria wala kujiuliza kidogo uhalali wake wa kisheria. Yeye alipokea na kuyatumia kama yalivyo na kuyakubali. Hakuwaza hata athari na mapungufu yake yeye hakujionya wala kujipa angalizo.
Ndio maana tuko katika mahakakama hii kuiomba ipitie jambo hili na kurekebisha suala hili.
Naomba sasa aingie @Advocate_Jebra
Part 4 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako kwenye post hii
“Tutazuia uchaguzi” - usiichukue na kujadili kauli mbiu hii ya kisiasa ukiwa kwenye ULEVI. Nitakupa darasa kidogo hapa, ukiwa timamu kichwani, utanielewa.
Kwanza lazima uelewe, hatupo katika shindano la kutafuta umashahuri au umaarufu (popularity contenst). Hivyo hatuna tatizo na watu wengine kutokutuelewa.
Kauli mbiu hii ya - “Tutazuia Uchaguzi” inapochukuliwa kama kauli ya kisiasa, ni muhimu kuielewa si kama tishio la moja kwa moja dhidi ya mchakato wa kikatiba.
Ni kama mbinu ya uhamasishaji (motivational technique) wa kisiasa na sauti ya kudai mageuzi ya msingi. Haimaanishi kufunga vituo vya kupigia kura kwa nguvu..
Ni mwitikio wa kisiasa (Reactionary) unaolenga kuibua mjadala, kupaza sauti, na kulazimisha hatua za marekebisho ya kimfumo kabla ya uchaguzi kufanyika.
Ni tamko la kuweka shinikizo: ni lugha ya kisiasa ya kimkakati, inayotumika kuonyesha uchaguzi usiozingatia haki, usawa na mageuzi ya mfumo hautakubalika.
Ni sauti ya kukata tamaa kwa mfumo uliopo: hii inadhihirisha hisia za kuchoshwa na mizunguko isiyo na matokeo ya kweli ya mabadiliko. Uongo mwingi.
Hivyo kuleta kauli kali - “No reforms; No election” kama jukwaa mbadala la kugomea uhalali wa mchakato unaotajwa kuwa na mapungufu, ufanyiwe marekebisho.
Ni mbinu ya kuunganisha umma: kauli kama hizi hutumika huchochea mijadala, mijumuiko, maandamano ya amani au kampeni za kutokushiriki uchaguzi.
Ni mbinu ya kusimika hoja kwamba uchaguzi si lengo, bali ni njia ya kuleta haki na mabadiliko. Kwamba, wananchi ndiyo wachague viongozi ambao wanawataka wao.
Ni wito wa Mageuzi ya Kielektroni na Kisheria: Kwa mfano, kauli hii ikitumika vizuri inaweza kutumika kuibua hoja za kudai marekebisho ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Pia, inaweza kutumika kudai mchakato siyo tu wa tume huru ya uchaguzi- ni hadi uhuru wa vyombo vya habari, haki ya vyama vya siasa, na uhuru wa mahakama.
Hivyo, msisitizo wa kauli: “Tutazuia Uchaguzi” kusudio lake ni kufunga mjadala wa uchaguzi hadi msingi wa mchakato wa uchaguzi urekebishwe. REFORMS..
“Tutazuia Uchaguzi” isichukuliwe kama uasi wa katiba au kuleta vurugu, bali ni demokrasia anayetumia lugha ya kushtua fikra ili kuhamasisha mageuzi ya msingi.
Kauli kama hizi za kisiasa zimewahi kutumika na vyama vya siasa mbalimbali Duniani na wanaharakati. Kuanzia Marekani, Uingereza, Cuba, Chile, Venezuela, etc…
NO JUSTICE, NO PEACE; ni kauli mbiu ya kisiasa ilianza kutumika wakati wa maandamano dhidi ya vitendo vya ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi Marekani.
Kauli mbiu hiyo ilitumiwa maandamano ya mwaka 1986, kufuatia mauaji ya Michael Griffith, raia wa Trinidad and Tobago na marafiki zake watatu, wote weusi,
Griffith na wenzake walivamiwa na kundi la vijana weupe wakiwa Howard Beach, Queens, New York. Michael alitoroka. Alikimbilia barabarani, akagongwa pikipiki.
Unaweza kurejea kisa hiki kupitia “Howard Beach racial attack”. Utaelewa vizuri uhusika wa kauli ya kisiasa ya “NO JUSTICE; NO PEACE” ilivyotumika wakati huo.
NO TAXATION WITHOUT REPRESENTATION; hii ilikuwa kauli mbiu ya kisiasa ambayo ilitumika na wakoloni wa Marekani wakilalamikia Bunge la utawala wa Uingereza.
Wakoloni wa Marekani walilalamika kwamba wanatozwa ushuru na Bunge la Uingereza bila ya kuwa na wawakilishi wa kuchaguliwa wa kutoa maoni yao katika Bunge.
Hii ni miaka ya 1760 wakati Bunge la Uingereza lilipotoza ushuru kwa wakoloni wa Amerika kusaidia Vita vya Ufaransa na India, bila kuwapa uwakilishi bungeni.
Ushuru unapaswa kutegemea ridhaa ya watawaliwa. Watu wanaotakiwa kulipa kodi, wanapaswa kuwa na sauti katika sheria na maamuzi yanayotoza kodi hizo
Hivyo, kauli ya “Tutazuia uchaguzi” inapaswa kueleweka kama sauti ya kupigania haki, siyo nia ya kuivuruga nchi, bali kuirekebisha kupitia shinikizo la kidemokrasia.
ONE SETTLER, ONE BULLET; Kauli mbiu iliyotumiwa na Azanian People’s Liberation Army (APLA), ilikuwa ni kilio wakati wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi.
Ilikuwa ni kauli mbiu ya (APLA), tawi la kijeshi la Pan Africanist Congress (PAC), wakati wa mapambano ya miaka ya 1980 dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini.
Kauli mbiu ilianzishwa kama dhihaka kwa kauli mbiu ya African National Congress (ANC) - “One Man, One Vote”, “ambayo baadae ilikuwa “One Person, One Vote”.
LIBERATION BEFORE EDUCATION; kauli mbiu ya ya wanaharakati Afrika Kusini kuanzia 1976 kukataa elimu iliyotolewa kwa watoto weusi enzi ya ubaguzi wa rangi.
Sous les pavés, la plage! (Under the paving stones, the beach!); ni kauli mbiu iliyotungwa na mwanaharakati wa wanafunzi Bernard Cousin na Bernard Fritsch.
Kauli mbiu ilikuwa nembo ya harakati maandamano ya mwaka 1968. Wanafunzi walipoanza kujenga vizuizi barabarani na kubomoa mawe ya barabarani (paving)
Hasta la victoria siempre!
Ndugu Zangu Tumefikia 3,231,800
Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani)
NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA Mpesa +255766180656
Tigo pesa +255718626642
MISHALY .S. SUMARY
Bank account CRDB :0152078706601