I am truly lost for words. Until yesterday, I never thought there would be something that would frighten me of going back to Liverpool after the break. Team mates come and go but not like this. It’s going to be extremely difficult to accept that Diogo won’t be there when we go back. My thoughts are with his wife, his children, and of course his parents who suddenly lost their children. Those close to Diogo and his brother Andre need all the support they can get. They will never be forgotten.
Takriban watu 10 wamepoteza maisha kufuatia kuporomoka kwa mgodi katika wilaya ya Mumbwa, Zambia, kilomita 150 magharibi mwa Lusaka.
Kamishna wa Polisi, Charity Chanda, amesema miili tisa (9) imepatikana eneo la tukio, na mmoja alifariki dunia hospitalini.
Mbunge wa eneo hilo, Collins Nzovu, ameeleza kuwa wachimba migodi 20 hawajulikani walipo na wanahofiwa kuwa wamepoteza maisha, ingawa idadi hiyo haijathibitishwa rasmi.
Shughuli za uokoaji zinaendelea huku chanzo cha kuporomoka kwa mgodi kikisalia kutofahamika.
“Nilipokuwa Rais hakukuwa na Vita, zaidi ya Islamic State (ISIS) ambayo niliishinda. Nikiwa Rais hakutakuwa na Vita, ninauwezo wa kumaliza Vita kwa kupiga simu tu” Donald Trump.
MAGETONI ndipo Wanangu wamechill muda huu, wanatazama juu kuamini Mwenyezi Mungu aliye hai ambaye ndie aliyempa rizki Mzee Bakhresa na MO, tunamtazama kwa kuamini kuwa hajatusahau kesho atatupa rizki yetu, nawapa tano Wanangu kwa kuendelea kuvuka vipindi vigumu ambavyo wengi waliamini tupo sawa ila moyoni tuna vita zetu kali sana.
MAPENZI, yamekuwa machungu sana, kuna namna mpya ya ‘kujiuza’ inaitwa kuhudumia, utasikia Mwanaume asiye na pesa siwezi mpa nafasi, ndio hivyo Wanangu wana real love ila dunia inataka pesa, ugali dagaa kwenye amani sio utani, Dada zetu wamekubali wali nyama motoni sio vitani tena, mkono mtupu wa Mwanangu hauwezi kulambwa.
INSTAGRAM, ni chaka ambalo tunatazama wenzetu walioshinda huku sisi tukiwapigia makofi kwa bidii mpaka pale zamu yetu itakapofika, tukiona wapo Dubai tunacomment kwa furaha, tukiona wapo Ulaya tunashangilia, maisha yetu yana vita nyingi sana kwahiyo tumechagua furaha kwakuwa chuki ni mzigo mwingine ambao hatuwezi kuubeba.
HARAKATI, zimetusaliti sana Wanangu mfumo unataka tuwe Machawa, ajira zinataka tuvunje nazi na kuoga njia panda, Utajiri sometimes unataka kafara, wanaotupa nafasi wanapenda tufanikiwe ila sio kuzidi wao, wanaodai haki wanaitwa wajeuri, Chawa anaitwa Mchapakazi na Wanangu wapo mtu kati mbele kiza na nyuma moto.
MICHONGO, imekuwa msamiati mgumu sana Wanangu, walioshika mpini wanavuta sana kisu kinatukata, Dada zetu wanashusha sana sketi kwakuwa vyeti sio kitu tena, Wanetu wanapiga Interview lakini hakuna nafuu bado kombolela halijalipa na kila tukijitokeza kubutua wanatuwahi.
MITAA, inatudai sana Wanangu kwakuwa waliamini kuna sehemu tunaelekea lakini maisha yametupa njia mpya na mfumo haujatupa machaguo, bado wanatuona kitaa licha ya vyeti vyetu, kuna muda wanatucheka kuwa kiko wapi, kuna muda tuliowaacha kitaa wana maisha kuliko sisi.
Unaona nini ukiwaona Wanangu? Fahamu unawatazama Washindi hao wapo vitani, hawana michongo ila wanavaa wanapendeza, wanakula na wanaishi, mioyo yao imejaa upendo wakiamini kesho nayo siku🫡
Respect sana kwa wadau wote wa Twitter(X). Umoja na mshikamano huu ni jambo kubwa, la pekee na la kujivunia. Kwa kifupi Jumuiya hii ya Twitter (X) ni familia kubwa yenye Upendo, inayojali na kuthamini Utu, haki na Uhai wa kila mmoja wetu. Mungu awabariki sana.
“Ntasikitika sana (wakiifungia X). Mtandao huu ulijenga siasa zangu tangu mwanzo mpaka sasa. Ninajua faida na mabaya yake, watanufaika kwa Ushauri wangu kama watataka kuniuliza kabla ya kuchua uamuzi huo. Hatuwezi kukwepa Teknolojia inabidi tujue namna ya kuishi nayo” Kigwangalla
“If you ought to build the tallest building in the city, it is my advice you mainly focus on your own building. Destroying and wrecking other tall buildings does not add any height to the one you are building.
Otherwise you will be termed as a destroyer and not a builder.”