Ni rasmi Sasa timu ya kina dada ya Everton itatumia uwanja wa Goodison Park kama uwanja wao wa nyumbani kuanzia msimu ujao baada ya timu ya wanaume ya Everton kuhamia kwenye uwanja wao mpya wa Bramley-Moore Dock.
#semanamalenga#kipenzichamama#malenga003#wsl#epl
@colepalmer ameingia kwenye orodha ya wachezaji wachanga kuwahi kufunga magoli 4 na zaidi kwenye mechi moja ya EPL. Yakub Aiyegbeni ndiye mchezaji anayeshikila rekodi hiyo.
#semanamalenga#epl#kipenzichamama#malenga003
Florian Wirtz ndiye mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-rick baada ya kutokea benchi kwenye Bundesliga tangu Erling Haaland kufanya hivyo mwaka wa 2020 Dortmund wakicheza na Augsburg.
#semanamalenga#kipenzichamama#malenga003#bundesliga
Ushindi wa magoli 5-1 dhidi ya Luton Town unawapandisha @ManCity kileleni mwa jedwali wakiwa na alama 73 alama mbili mbele ya Arsenal na Liverpool wenye alama 71.
Nani amekufurahisha kwenye mechi ya City na Luton?
#semanamalenga#EPL#kipenzichamama#malenga003
Masaa yetu ndio haya tufunge wiki ndani ya show ya Mapedeshee Twatulizaa. Unategea ukiwa wapi na nani? @BahariFM
Mombasa 90.4
Malindi 106.0
https://t.co/7zL1O9lREU
#Twatulizaa#semanamalenga#Nuruyaroho
*~Zaburi 42:1*
"Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu. " Tupatane kuanzia saa mbili usiku tuogelee kwenye Bahari Ya Pwaa ndani ya @BahariFM#semanamalenga#kipenzichamama#malenga003
Liverpool forward Fabio Carvalho has completed a season-long loan to RB Leipzig.Jurgen Klopp wants the 20-year-old to gain more experience after making just 22 appearances in all competitions last season, only starting seven games. #AVFC#semanamalenga#malenga003#Liverpool