@Rydx_017@athanas_pius@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221@babalao__ Kuna maswali najiuliza aliyekuwa amemuona alikuwa nani na alijua vp kuwa huyu ni padre aliyepotea,pili gari la magonjwa kwa kijiji liliweza vp patikana kwa haraka,tatu msururu huu wa watu na viongozi wa chama walifikaje kwa haraka au wali subiriwa mpaka wakafika
@godbless_lema Kwani mwanadamu tumezaliwa na tutakufa kama Mungu akipenda tofauti na hapo mtu atakae chukuwa maisha yako kwanguvu hataishi kwa furaha katika haya maishi ,kwani ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga