CCM wanadai kuwa mabeberu wanataka madini ya Tanzania ndio maana wanaingiliw mambo ya TZ, je kwanini CCM hawaweki wazi rushwa waliojaribu kuwapa Wamarekani ili wakae upande wao (wauwaji)?
Watanzania ni hivi. baada ya Marekani kutoa lile tamko lile la kwanza kabisa juu ya mauaji, Samia alitafuta kampuni za Kimarekani na kuzipa contracts za madini akidhani kuwa Marekani wanatetea wananchi sababu wanataka madini. Akadhani akitoa madini basi kesi imeisha. Kampuni kadhaa za Marekani zikakubali offer na kusaini na Samia akadhani keshamlegeza Trump na kesi imeisha.
Mnachoona leo ni kwamba wamepaniki na kuchanganyiwa, walitegemea wakimpa Marekani madini ya Tanzania basi kesi imeisha. Sasa imekuwa opposite, kampuni za kimarekani zime sign madili ila ndio kwanza serikali ya Marekani inawasha moto juu ya October 29 .
Watanzania daini kujua tokea October 29 Samia katoa contract ngapi za biashara kwa kampuni za Kimarekani ili Wamarekani wafungie macho October 29? Akishajibu hilo ndio mtajua kuwa Wamarekani wanania ya kweli kutusaidia na wamegoma kushiriki ufisadi wao na uuaji wao na wananchi.
Marekani wameanza na Mafwele. Watanzania, this is a step in the right direction kwenye kupata accountability. Wauwaji wooote watakuwa held accountable na wananchi tutaipata nchi yetu kutoka kwa wahuni.
Tukimix nguvu zetu za ndani na support ya nje, HAKI itapatikana kwenye nchi yetu…….
Na niwaambie tu, yanakuja mengi na makubwa, wauwaji watatafuta pa kujichimbia……
TUTASHINDA!!!!!!
Thank you so much @SecRubio@StateDept
Tumetoka kumpumzisha MAMA YANGU mchana wa leo,Sikuwahi kufikiria kama nitakuwa yatima katika umri wangu mdogo kiasi hiki.Imekuwa mapema sana aisee. Tumuombee sana kipenzi changu apate pumziko la milele. Daah! Why MAMA 😥😓😭🙌
Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii
Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop.
Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop.
Alafu naomba angalieni magari yaliyoingizwa Tz kwa jina la mkuu wa Usalama wa taifa. Suleiman Mombo kaingiza Tanzania kwa jina lake mwenyewe migari kama yote, acha yale marolls Royce yaliyojaa ndani kwake.
Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki na bado kuna Watanganyika wanafanya uchawa kwa kupewa laki 1.
Ninazo info nyingi zaidi nasubiri nirudi Instagram maana kuachia hizi info kwa sasa hakuna much impact.
Naombeni kila Mtanzania aangalie hayo magari yaliyoingizwa Tanzania kwa pesa za walipa kodi alafu ajiangalie kwenye kioo ajiulize kama yupo upande sahihi wa kudai haki.
Nchi hata maji safi ni shida ila ona Mabugatti yanaingizwa nchini na Angela Kizigha na bado anapewa appointment ya serikalini.
Mnaweza kuingia wenyewe kwenye hii website na kuingiza hizi info na kujihakikishia wenyewe.
Watanzania, muuaji wa taifa yuko kwenye special campaign ya kusafisha image yake ya uuaji na roho mbaya. Tafadhali Watanzania msidondoke kwenye huu mtego.
Maji ya shingo yamefika sasa hivi so anataka wananchi mlegeze roho zenu kwake. Tafadhali Watanzania msilegeze roho zenu. Katuulia watoto huyu mchawi na baada ya kuua alisema nguvu sahihi ilitumika, sasa maji ya shingo yamemfkla hana pa kugeuka ndio anarudi kwenu na image mpya ya malaika, msikubaliiiiiiiii.
Samia muuaji anawachezeeni movie, fortunately she is a bad actress.
Samia tunaemjua Watanzania ni yule aliesimama jukwaani na kusema nguvu sahihi ilitumika na kwamba amejipanga kuua tena kama tukiandamana tena, real Samia ni yule aliesimama na kusema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinwyi, real Samia ni huyo kwa mwaka mzima sasa kamuweka Lissu ndani,real Samia ni aliewaingizia pesa polisi woote nchini na wanajeshi woote Baada ya kuua wananchi kama Ahsante ya kumfanyia mauaji,real Samia ni aliesimama kwenye jukwaa na kusema wanaharakati wa kenya walikomeshwa mpaka hawajarudi tena, akimaanisha aliwabaka vizuri mpaka wamekoma. Huyo ndo Samia tunaemjua, huyu mpya hatumtakiii
Hii imagine mpya msiikubali, sasa hivi ana hali mbaya na anajua kinachofata so anataka Watanzania msahaau mateso yooote aliyowapa na mupokee hii image yake mpya ya umalaika. Huyu ni muuaji hii image mpya ambayo ni ya kumsaidia kujificha nyuma yenu.
Watanzani, kukubali kufanywa wajinga na hii propaganda mpya ya kumsafisha Samia muuaji ni kuwasaliti ndugu zetu waliofariki Oktoba 29. Maiti zitageuka kaburini na roho zao zitaweweseka kama Watanzania tutafanywa wapumbavu na hii movie CCM wanayotuchezea sasa hivi. Na nina uhakika Kikwete ndio mastermind wa hii movie.
Nawaoomba Watanzania woote kuanzia sasa, CCM wakiwapostia hizi propaganda za kusafisha image ya Samia commentini, “atupe kwanza miili ya ndugu zetu aliyoificha tukazike ndio tutamuelewa” au “ afufue kwanza ndugu zetu alioua ndio tutamuelewa’
Kwenye Nchi Kama hii, inaonesha ujambazj unalipa, kuliko kufanya kazi kwa bidii na kwa nidhamu!!!! Walipa kodi watoto wao wanasomea hapo. Hiyo ni shule imepigwa picha jana huko Tanga. ukiacha tu ubora wa hiyo Elimu yenyewe, angalia mahali wanaposomea, yaani mazingira ya kufundishia na kujifunzia…
Wakati mtoto wa mlipa kodi anasomea hapo, kuna eti kiongozi wa serikali anatumia gari ya thamani ya 1.5 bilioni… ukimwambia atoe maelezo ya namna alivyopata pesa ya kununua gari hiyo hawezi kusema…
Hawa ndio wako tayari kuua maelfu ya watu ili kulinda uchafu huu, wako tayari kuteka na kupoteza kila anaehoji kwa nia njema kuhusu Nchi yetu… tusinyamaze, Tutashinda
NINAZO TAARIFA RASMI kuwa “JAJI MTUNGI” anaehusika na vyama vya siasa amepokea DRAFT kutoka IKULU kuenda kwa “JAJI OTHMAN CHANDE” (Mwenyekiti ya TUME YA UCHUNGIZI #MO29) kuhakikisha CHADEMA UNAFUTWA.
Hizi taarifa kwasasa zinaonekana kama tunaozitoa kama TUMECHANGANYIKIWA. Ni kweli TUMECHANGANYIKIWA niwahakikishie jambo moja nyie WAZEE MAKUMA kwamba MKIIFUTA CHADEMA basi mmeifuta TANZANIA.
Kama KUIFUTA CHADEMA mnaona ni kulisaidia TAIFA kupata utulivu basi hilo tutahakikisha haliwezekani na nchi HATATAWALIKA ZAIDI YA SASA.
Si mnaona saizi SAMIA na LISSU hawana Tofauti, toafauti yao ni majengo tuu. SAMIA yupo ikulu LISSU yupo jela kwenye kuta NNE.
• Ila wote hawana uhuru wa kutoka kuongea na watu wao. Leo DIKTETA JIKE limekaa tuu ikulu SIKU 100 za kwanza ni kujificha, kupanda MITI na kurudi mafichoni kama KENGE.
•Wote hawana uhuru wa kufurahia maisha na WATU WAO. Leo DIKTETA JIKE linajisifu limepata ishindi 98% ila hata kuenda kusherekea na watu wake linashindwa. Kuapishwa anaapishiwa CHOBINGO.
Hiyo hali TUTAHAKIKISHA inakuwa ya KUDUMU KWA SAMIA MPAKA ANAKUFA.
TUTAKUWEPO🫵🏻😎
Kwenye ripoti ya BBC nimeanza kwa kusema “Nipo nchi ya UGENINI na kuishi kwangu huku UGENINI imekuwa GHARAMA SANA na UPWEKE MWINGI”.
Naona watu wengi wananionea HURUMA. Niliyoongea ni ya kweli kuwa mimi SIPO TANZANIA na huku nilipo ni MPWEKE SANA NA MAISHA YANGU NI YA GHALI MNO.
Vyote hivi vilinitesa mwanzoni ila sio ishu kwasasa ndiomaana kila wakati mnaona SURA YANGU INATABASAMU LA NGUVU SANA. Mimi naamini haya ni MALIPO ya MUNGU kuniokoa kwenye Tundu la KIFO KATAVI.
MUNGU aliamini akiniacha hai nitafanya haya ninayofanya sasa. Kwahiyo hata haya magumu niliyopitia ya UPWEKE NA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI nauona MLANGO wake siku ukifunguka.
Kama MUNGU ataamua niishi hivi hivi kwa kipindi chote cha maisha yangu binafsi NINA AMANI KUTOKA NDANI YA UVUNGU WA MOYO WANGU. SIJUTII HATA KIDOGO KUISHI HAYA MAISHA.
Na yote yanawezekana Asante kwa Betting kiukweli Bila BETTING mimi ningekuwa MAITI LEO. Ndiomaana naifanya kwa asilimia 200%.
Kuweni na amani watanzania Nipo poa na kama nilivyomuahidi MAFWELE “Its gina be bumpy ride—Seat belt please” sasa nafikiri anaelewa. Hakuniteka tuu SATIVA aliteka GEN-Z mwenye akili timamu.
NB: TAFUTA FINACIAL FREEDOM—HAPO NDIO CODE ILIPO.
TUTAKUWEPO🫵😎
Ripoti ya BBC imetoka ina dakika 51.
Hii ni MOVIE kabisa inayoonyesha na kuumbua yote yanayofanywa na serikali ya WAKOLONI WEUSI.
UELEKEO NI MMOJA TUU KWASASA KAMA TAIFA.
Hao wabunge wamechaguliwa na nani? Sheria ya haki, kinga na madaraka ya bunge inahusu bunge lilotokana na kura za wananchi…
Kwa maoni yangu hao ni wanaccm wanashughulikiana wenyewe kwa wenyewe.
My brother ✊🏽🔥 @HecheJohn
Hii ndo ilikuwa hotuba bora ya leo katika msiba! Full stop! Hakikisha unaisambaza ktk magroup yako yote ewe mtanzania!
Bila kupindisha Heche ameeleza kwa nini @ChademaTZ2 ni chama kikuu Tanzania
CCM si chama imebaki dola!
DNA aliyowaachia muasisi wenu Mzee Mtei idumu 💪🏽
Kweli wanaCHADEMA mlitusaidia kama Taifa pa kubwa January 2025 na kuiweka chama katika mikono salama ya uongozi!
History has been written!
Pumzika kwa amani Mzee Mtei tunakushukuru kwa uongozi wako!
Nyooooo, kutwa kutusema kina Mange tunatumika na “mabeberu” kumbe yenyewe mpaka yanachota kodi za wananchi ili kujipendekeza kwa “mabeberu”. Imagine kila mwezi wanaiba $45,000 za Watanzania wanawalipa “mabeberu” ili wakawasafishie image yao ya uuwaji kwa “mabeberu’ wenzao
Watanzania hao wauwaji sio kwamba hawawataki “mabeberu”, shida ni kwamba “mabeberu” wameamua kusimama na wananchi. Wao wanataka “mabeberu” wasimame nao wao ili sisi wananchi tubaki wenyewe tushindwe kupambana nao.
“ Mabeberu” wakisimama na wananchi ndio wabaya ila wakisimama nao wao wauwaji wanakuwa wazuri kama Wachina tu.
Na naomba niwahikishie Watanzania kuwa hizi pesa Samia anazipoteza bure tu, wahusika washa make decision ya kusimama na Watanzania na sio wauwaji na soon mtaona majibu. Watatoa milio!!!!!’
@JohnnyNash77 Try the Tanzanian regime that 2 months ago massacred over 10,000 of its people for protesting. Please scroll down my page to see the video of the killings.
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.