@godbless_lema WaTz na Wanaharakati wao ni Mamburura sa na. Mtoto kusaidiwa imekuwa Shida. Wanataka mtoto ateseke ili apewe matango pori baadae. WaTz wajinga sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@Sativa255 Haki haipataikani mitandaoni, Jana Ilipaswa muandamane. Lakini Cha kushangaza Hamjatoka Haki mutaipatia Wapi.
Ukiwa Chadema Asubuhi, Jioni unawehuka kwenye mtandao.