Kwasababu wewe ulipitia MAGUMU wakati unatafuta HAINA HAJA ya kuweka UGUMU kwa wanaotafuta SASA. Mambo yameshakua mepesi, KUNJUA TU Kuna BARAKA ndani ya HILO PIA.
Mfundishe tu mtu NIDHAMU ya KAZI kisha mengine MUACHIE MWENYEWE.
Pole sana ndugu anguu JORDAN MBAPPE kwa kumpoteza AUNTY Mwenyezi mungu awafanyie Wepesi Familia ya Mzee MARIANO MOSHI katika kipindi hiki kigumu cha majonzi
Nyakati ngumu hazidumu BROUH MBAPPE ๐ฆ ๐ค๐
Maisha Unayoyaota kuna Mwenzako anayaishi na kuna mtu unaishi maisha ya NDOTO zake. Jitambue Wew ni nani na kwanini Unapewa uliyopewa na kisha ufundishe moyo wako kuridhika na kuwa na shukrani
Ukimchukia mTu Mchukie peke yako kwa hasara zako Lakini kuTengeneza Mazingira na wengine Wamchukie au kumuona Mbaya kupitia wewe Hiyo Ni dhambi Mbaya Sana inaitwa FITNA na Ipo siku itakugharimu
Dear FATHER JOHN JOB MWAISAKA
01.01.2017 ๐ค๐
8 years since YOU'VE PASSED AWAY
Sometimes I wish to see your CALL I wish to hear ur VOICE
Dady I miss those days Moments Love and Protection from you
Thanks For everything FATHER always in my HEART
Keeping REST IN PEACE FATHER
Nitumie Fursa kutoa Shukrani kwa Ndugu zangu wote ambao angalau mlitumia Vidole venu kunitakia kheri katika kumbukumbu yangu ya Siku ya Kuzaliwa .
Mwenyezi Mungu awabariki sana .
Asanteni kwa Upendo wenu.