IFAHAMU eSIM | LAINI YA KIDIGITALI!
Wengi huenda Mmesikia Mahali au wengine mmeona Neno “eSIM” na hamjaelewa nini Maana yake, Karibuni tuifahamu vyema Huduma ya eSIM na maana yake.
🔎NAMNA YA KUJUA SIMU YAKO INA VIGEZO VYA KUTUMIA HUDUMA YA eSIM.
Thread🪡🧵
💨 Fungua ChartGPT kisha > Upload picha yako > Copy na haya maneno 👇
"Weka hii picha kama ilipigwa miaka ya 1980 na mavazi yafananie hiyo miaka ila sura zibaki hadi mazingira yafananie hiyo miaka"
@amprincess9@VodacomTanzania Dah pole sana, inaonekana unatumia sms sana kuliko kupiga...., me nimechoka kupigiwa pigiwa kuhusu mambo ya kuelekezwa namna ya kutumia huduma za voda💔😒