Risasi moja inasababisha wazazi wamepoteza mtoto,mke amepoteza mume,mtoto amepoteza baba,serikali imepoteza mpiga kura,TRA imepoteza mlipakodi,kampuni imepoteza mfanyakazi,Taifa linapoteza nguvu kazi ya kesho.
Tizama athari inayotokea baada ya mtu mmoja kufariki,
Tujitafakari.
Maduro angekuwa amekamatwa na mapolisi wa Tanzania, kwanza wangekataa kuwa wamemnyakua alafu wangempoteza!
Si bora Maduro yuko Mahakamani kuliko Sisi hatujui Polepole, Mdude, Azory, Ben Saa nane, Kipanya D, Chaula na wengine kibao hatujui walipo kwa sababu mbogamboga wamependa.