Zaburi 52:1-3
[1]Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.
[2]Ulimi wako watunga madhara,
Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila
[3]Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.
Zaburi 85
10 : Fadhili na kweli zimekutana, Haki na amani zimehusiana.
Mithali 14
34 : Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.
Isaya 32
17 : Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Zaburi 85
10 : Fadhili na kweli zimekutana, Haki na amani zimehusiana.
Mithali 14
34 : Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.
Isaya 32
17 : Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Danieli 9:9-10
Rehema na msamaha ni kwa Bwana Mungu wetu, ingawa tumemwasi;
wala hatukuitii sauti ya BWANA, Mungu wetu, kwa kwenda katika sheria zake, alizoziweka mbele yetu kwa kinywa cha watumishi wake, manabii.
Danieli 9:8-9
Ee Bwana, kwetu sisi kuna haya ya uso, kwa wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, kwa sababu tumekutenda dhambi.
Rehema na msamaha ni kwa Bwana Mungu wetu, ingawa tumemwasi;
Leo Jijini Nairobi, Kenya, @dua_africa imemtunukia Mwenyekiti Tundu Lissu tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake madhubuti wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika licha ya kukabiliwa na mazingira magumu na hatari.
Tuzo hiyo imetolewa na Rais Mstaafu wa Ghana Mh Nana Akufo Addo na kupokelewa na Katibu wa Mambo ya nje ya chama na Makamu Mwenyekiti wa DUA Kanda ya Afrika Mashariki @DeoMunishi ambaye pia ametoa ujumbe maalumu wa Mwenyekiti Lissu kwenye mkutano huo.
"They will create the virus themselves and sell you the antidotes.Thereafter,they will pretend to take time to find the solution when they already have it."
-Muammar Gaddafi
(2009 United Nation Assembly)
Anaandika Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Dkt. Chris Mauki kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Oktoba 8, 2025.
"Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili (nature) na ni misingi ya kimaandiko kwamba kila damu hunena na hudai. Damu ya yeyote inathamani. Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania.
HAKI huinuaTaifa"
President Ibrahim Traoré has sent a clear message: any minister or official caught in bribery or corruption even for just $1 will go straight to prison!
Government salaries exist to serve the people, not exploit them. Public exams must be fair and earned, not bought. Every Thursday, officials’ work will be inspected to ensure accountability.
Burkina Faso celebrates 5 months of uninterrupted electricity!
No blackouts, no power cuts continuous light for 5 solid months!
With stable power supply, they’re now confidently moving into electric vehicles, you can charge your car anytime, anywhere!
President Ibrahim Traoré has sent a clear message: any minister or official caught in bribery or corruption—even for just $1—will go straight to prison!
Government salaries exist to serve the people, not exploit them. Public exams must be fair and earned, not bought. Every Thursday, officials’ work will be inspected to ensure accountability.
Burkina Faso is showing the world that honesty and meritocracy matters.
Habakuki 1:4
[4]Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu ikipatikana imepotoka.
Habakuki 1:2-3
[2]Ee BWANA, nilie hata lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.
[3]Mbona wanionyesha uovu, na kunitazamisha ukaidi? Maana uharibifu na udhalimu u mbele yangu; kuna ugomvi, na mashindano yatokea.