SOMA REVIEWS KABLA YA KUPAKUA (DOWNLOAD) APP MPYA KUTOKA APPSTORE AU PLAYSTORE.
Kusoma reviews au maoni ya watu wengine kuhusu App kabla ya kuipakua, itakusaidia kufahamu uzuri/ubora au changamoto za App yenyewe, kama App imekuwa na reviews nyingi za kuiponda....

i.e Negative Reviews basi haitokuwa nzuri kwako, pia kama App imekuwa na Reviews nzuri basi itakuwa nzuri katika matumizi.
Kingine cha kuzingatia ni Reviews nzuri za uongo, baadhi ya Apps zinaweza kuwa na Reviews nyingi nzuri lakini zikawa ni spams ili tu kuvutia watu kuipakua,