GOD IS FIRST.
The future fruits are in the Seed of today, be carefull of what seed you plant.
LOVE IS EVERYTHING.pawxccaccuwuzYxu a ugyxzyxz
Never give up.
#XAUUSD
Following the #ADP data and Warsh speech, our short-selling signals are currently active.
#GOLD
Selling below 4120 has yielded a profit of 900 pip so far.
The market remains bearish; watch the $4000 support level. A break below this level would accelerate the decline.
If $4000 holds, this decline will likely end in the short term.
TUNDU LISSU KUMUHOJI MKUU WA GEREZA LA UKONGA NA KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA KATIKA SHAURI LA KIKATIBA NAMBA 7300/2026
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mhe. Tundu Lissu, atawahoji kwa maswali ya dodoso Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la Ukonga tarehe 1 hadi 3 Julai 2026 katika Shauri la Kikatiba Na. 7300 la Mwaka 2026 mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma.
Shauri hilo lilifunguliwa na Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkungu na Paul Kisabo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kamishna Mkuu wa Magereza na Mkuu wa Gereza la Ukonga.
Katika shauri hilo, Mahakama inaombwa kuamua kuhusu masuala mbalimbali ya kikatiba yanayohusu vikwazo vya Jeshi la Magereza dhidi ya Mhe. Tundu Lissu, mawakili wake, ndugu, viongozi na wanachama wanaomtembelea gerezani.
Miongoni mwa masuala yanayolalamikiwa ni pamoja na kuzuiwa kwa viongozi na wanachama kumuona Mhe. Lissu gerezani, pamoja na vitendo vya askari wa magereza vya kusikiliza mazungumzo kati ya Mhe. Lissu na mawakili wake wanapofanya mashauriano ya kisheria, jambo ambalo linakiuka haki ya faragha na haki ya mawakili kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba na Sheria.
Katika shauri hilo, Mhe. Tundu Lissu ni miongoni mwa wajibu maombi (Respondents, huku Chama cha Wanasheria Tanganyika kitashiriki kama mdau mwenye maslahi katika shauri (Interested Party) baada ya Mahakama kukubali maombi yake.
Aidha, kutokana na uzoefu wao wa kukumbana na changamoto hizo wanapomtembelea Mhe. Lissu gerezani kwa ajili ya mashauriano ya kisheria, Mhe. Lissu anatarajiwa pia kuwahoji mawakili waliofungua shauri hilo ili waweze kuieleza Mahakama kuhusu mazingira halisi wanayokumbana nayo wanapotekeleza wajibu wao wa kitaaluma.
Shauri hilo litasikilizwa kwa njia ya Mtandao mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu; Mhe. Jaji Mruma, Mhe. Jaji Dkt. Rumisha na Mhe. Jaji Dkt. Longopa.
Shauri hili ni miongoni mwa mashauri muhimu ya kikatiba yanayoweza kuweka mwelekeo wa kisheria kuhusu haki ya mawakili kufanya mashauriano ya faragha na wateja wao waliopo mahabusu au gerezani, pamoja na kulinda misingi ya haki ya kupata msaada wa kisheria na usiri wa mawasiliano kati ya wakili na mteja.
Imetolewa na:
Wakili Paul Kisabo
Dar es Salaam
30 Juni 2026
#XAUUSD
Gold has risen slightly in the short term, approaching the price around 4110.
Resistance levels are at 4110-4140. The market is focused on the NFP data on Thursday.
I believe gold will re-enter a consolidation range before the NFP data release.
Therefore, we can sell gold in the 4110-4130 range. Targets are 4070-4060-4050. #GOLD
#GOLD#XAUUSD
Gold has rebounded slightly, approaching the 4035 level. (Note: Pay attention to Fed Chairman Warsh's speech tonight.)
Note: #Warsh's stance is primarily bearish for gold.
Resistance levels are at 4040-4050, followed by the 4080 area.
Let's wait for Walsh to speak!
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
#XAUUSD#GOLD
Gold Trading Strategy for the Asian Session (June 25)
Bearish momentum remains strong; the 4010 level has shifted from support to significant resistance, and short-term rebounds are unlikely to alter the overall downward trend.
Trading Recommendations
1: Enter if the price stabilizes in the 3970–3990 range; target 4120, with a further target of 4200 upon a breakout.
2: Enter if resistance is encountered in the 4110–4130 range; target 3980, with a further target of 3900 upon a breakout.
(Actual live trading conditions take precedence.)
Hii OUTPUT inatokana na INPUTS!
Hongera sana kwa viongozi wenzangu wa Kanda ya Nyasa wa ngazi zote. Toka Kanda, Mikoa yote 5, Majimbo 32 na Kata na Matawi yote… Chama kiko salama na imara kuliko jana!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa#LiMwenyekiti
Gold has reached around 4005, marking the end of the short-term rebound, and the overall structure is bearish.
Strategy Recommendation: Prioritize shorting around 4000-4020.
Target: 3980-3950 support level.
If 3950 is breached, further downside potential will open up.#xauusd #gold
Nioneshe picha kama hii ya CCM bila gari iliyobeba watumishi wa umma pamoja na wanafunzi.
Huyu ni Mh John Heche akiwa anatoa Elimu kwa wananchi ✊ Tuzid kumuombea
IGP Wambura, baadhi ya askari wa Polisi katika maeneo ya Mkoa wa Morogoro wanaendelea kukandamiza shughuli halali za kisiasa. Gairo, chama chetu kilizuiwa kufanya mkutano katikati ya mji na OCD akatulazimisha kuhamishia mkutano nje ya mji, kinyume na ratiba na matangazo yaliyokuwa yametolewa. Kilosa, katika Kijiji cha Rudewa, gari la matangazo lililazimika kusitisha kazi baada ya wamiliki wa vifaa kupokea vitisho. Hata gari la pili lilipopatikana, vitisho hivyo viliendelea hadi wakalazimika kurejesha fedha na kujiondoa.
Demokrasia inaendelea kukabwa kwa njia zisizokubalika. Haipaswi kuwa hivi. Jeshi la Polisi lina wajibu wa kuhakikisha vyama vyote vinafanya shughuli zao za kisiasa kwa usawa, kwa mujibu wa sheria na Katiba.
Hii inaitwa IGA UFE, JARIBU UFILISIKE.
1. Mbarali, Mbeya
2. Makambako, Njombe
3. Songea Mjini, Songea
4. Masasi, Mtwara
Hii ni mikutano ya hadhara katika mikoa minne tofauti kanda ya kusini na Nyasa. Mikutano mingine imefanyika asubuhi. Watu ni wengi kama mchanga.
Wananchi wamekuja wenyewe bila kusombwa na kulipwa na wamechangia TONE TONE kuendesha chama chao. Wananchi wanaipenda CHADEMA.
Mashosti wa mbogamboga, wao hadi bajeti itoke kwa MaCCM na msimu wa uchaguzi ufike ndio unaweza kuwaona majukwaani. Siasa za posho. Shensisana.
#KatibaMpya #FreeTunduLissu
#XAUUSD#FX
Gold's overall trend on Monday will likely remain within the 4180-4120 range.
If gold briefly touches the 4170-4180 area on Monday, short positions can be opened again. The target is around 4130-4120.
If gold continues to break below 4120-4100, the next target is around 4090-4080.
#gold
Haya magari na hawa watu wanaokuja kwenye mikutano yetu kwa njia za kufuatilia kwa njia zisizo za wazi..
Wanapaswa kujua Tunajua na tunawaona.
Sisi tunafanya siasa na tunafanya kazi yetu ya kikatiba, hatuwezi kukubali kutishiwa wala kuogopeshwa.
Acheni uhuni huu.
Oktoba 29, 2025 💔
Imagine watu walikuwa wanapeleka maiti Hospital na wao wakauwawa kwa risasi.😭
Kamwe hatutasahau ukatili ambao Nduli Idd Amin Mama na washirika wake walitufanyia Watanganyika siku ya Oktoba 29.