Simpendi Rahma na tulishawahi kugombana sababu ana upuuzi mwingi wa kishamba
Ila kumvujishia video hio ni hatari sana💔
Humuonei huruma?
Kwanini tusiishie kutukanana tu na kutoleana maafile kuliko kumpa trauma itakayomtesa mpaka na watoto wake
Mimi kuvujisha Dm tu siwezi💔💔
Nimesikia huko Maria Sarungi jana kanijibu kwenye space yake
Nani kampa hayo mamlaka Ajuza??
Hanijua vizuri
Basi kesho nina space nitamwaga uongo wao na uchafu wao wote yeye na genge lake
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Ghasia na vurugu zinazopangwa kufanya na Wanaharakati Uchwara tarehe 07/07/2026 ili kuendeleza uchochezi wao kama wa Oktoba 29 utadhibitiwa na Wananchi na ushirikiano wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Never again. Kama ...
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyopewa na kifungu cha 21(1)(b) cha Sheria ya Tume ya Uchunguzi ameunda Tume ya kuchunguza jinai zote zilizojitokeza mpaka kupelekea ghasia za Oktoba 29. Wananchi tunasubiri matokeo ya ...
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Chuo Kikuu cha RUDN cha Urusi kimedumu katika ushirikiano na nchi yetu kwa miaka zaidi ya 65. Chuo hicho kimezalisha wataalam katika sekta mbalimbali nchini toka awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi yetu. Kwa kutambua ushirikiano huo, ndiyo maana
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Baada ya kuona hawana hoja ya kuchochea Wananchi kama walivyofanya Oktoba 29, sasa Wanaharakati uchwara wameanza kutoa kauli za kuwabagua Wananchi kutokana na maeneo waliyotoka. Historia na misingi ya Taifa letu inatuongoza vema kwamba nchi hii ni ..
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaharakati Uchwara wanachukia pale Serikali au wananchi wanaoamua kutoa ufafanuzi kuhusu hoja zao potofu kwa kuwa wanajiona wanaumiliki ukweli. Kama wanahubiri haki za binadamu kama wanavyodhani ni kwa nini hawataki kuwasikiliza wengine.
Tozo ya PID Kufungua Njia ya Bandari Zenye Uwezo Mkubwa Zaidi.
Kupitia uwekezaji wa miundombinu unaotarajiwa kufadhiliwa na tozo ya PID, bandari za Tanzania zinatarajiwa kuongeza uwezo wa kuhudumia meli na mizigo kwa kiwango kikubwa zaidi. Hatua hii itaifanya Tanzania
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Rasimu ya Muswada wa Maseneta wa Marekani kuiwekea nchi yetu vikwazo unalenga kufanya tathmini ya uwekezaji wa Makampuni ya China nchini na kuona namna maslahi ya makampuni ya Marekani yanavyoathiriwa na uwekezaji huo. Hiyo ndiyo sababu ya chokochoko
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Ziara ya kihistoria ya diplomasia ya uchumi nchini Urusi iliyofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imelenga ushirikiano katika nyanja za uchumi, teknolojia na utekelezaji wa Dira 2050. Hongera Dkt Samia kwa kazi kubwa na ya kutukuka.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaharakati Uchwara wanashabikia nchi yetu kuwekewa vikwazo vya kiuchumi huku wengi wao na familia zao wakiwa wanaishi nje ya nchi yetu. Wananchi hatutawaunga mkono. Tumewakataa.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Uchumi wa nchi yetu unalenga kufikia thamani ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050 kwa mujibu wa Dira ya Maendeleo. Hatua hiyo haiwezi kuwa furaha kwa nchi washindani na wale ambao lengo lao ni kutukufanya kuwa tegemezi. Tumepanga na Tunatekeleza.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Mashirikiano kati ya Tanzania na Urusi yanalenga pia kuboresha na kujenga viwanda vya mbolea nchini kwa ajili ya maendeleo ya kilimo na kuongeza thamani ya bidhaa za kilimo. Tumewapuuza Wanaharakati uchwara.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Maria Sarungi na genge lake wanasema uongo wa wazi kwamba kuna Mtuhumiwa anapelekwa Mahakamani kwa siri, Orodha ya mashauri ya Mahakama (cause list) inawekwa mtandaoni na yeyote anaweza kuiona kote duniani. Aidha, Mawakili wa Mtuhumiwa wanashiriki