Specializing in: ๐ Cargo Transportation | ๐ Building & Civil Works | โ Supply of Quality Building Materials. Reliable, efficient, and committed to excellence
@swahilitimes Hii Ni KE, Sisi Tz Hatuko Mars, Tuko Duniani. Elekezeni Nguvu Kwenye Miradi Yenye Kumsaidia Mtanzania Maskini Acheni Konakona, Wajibisheni Wezi Serikalini. Watz Ni Waoga Ila Usichukue Iyo Kama Advantage, Hamza Alikuwa Mtz, Msisahau. Haki Itendeke Na Ionekane Ikitendeka. #NRNE
@Ngattaboe99 Ukitaka Kuloga Ishu Zako Ziende Wasaidie Wazee, Maskini, Wagonjwa, Wafungwa, Yatima, Wajane. Mambo Yatakunyookea Ila Usifanye Ivi Baada Ya Kukwama Iwe Ni Desturi Yako. ๐
@gabyconscious Mbadilishie Mfumo Wa Malipo Yake, Watu Wa Sales Kama Madereva Mshahara Kidunchu Ila Commission Kubwa Kama Akileta Wateja Wapya Na Mauzo Yakiongezeka.
@moodewji Kutoa Kupita Kiasi Kunaharibu Biashara Na Kutoa Kwa Tarumbeta Kunaharibu Roho So Hapo Chagua Sumu Yako, Tajiri. Binafsi Nachagua Kutoa Kwa Hekima Na Kimyax2 Ili Biashara Isife Na Roho Isife. ๐คฃ
@Jizzlewantandu@AmirKiemba Katika Njia labda 3 Hatari Za Kutakatisha Fedha Duniani Sio Tz Tu Ni Betting Companies. Yule Mkinga Hajafungua Kimakosa, Anajua Anachofanya.