"Najivunia sana kuoa mke mwaminifu, mchapakazi na anayejitambua hayumbishwi yumbishwi kana viwanawake vyenu"
Mke Mwaminifu akiwa zake kazini akichapa kazi๐ ๐
"Huwa Nasikitika Sana Kusikia Wanaume Wenzangu Waliofunga Ndoa Wakicheat Wake Zao,Huko Ni Kumvunjia Mkeo Heshima Maana Utakachopata Nje Ni Kile Kile Kilichopo Ndani,Ni Tamaa Tu Zinawaponza. Tuwapende Wake Zetu" --- Diamond Platnumz