Tunajivunia umahiri na ufanisi wa Manahodha wetu wa ndani. Juhudi zao kazini zinatoa mchango mkubwa na muhimu kwenye uendeshaji wa Bandari zetu. Uwekezaji thabiti utaongeza uhitaji wa wataalam wa meli nchini, wakiwemo Manahodha.
#KnowledgeSharing#SkillSharing#ijuebandariyako