Huwa najiuliza hivi watu mnawezaje kuishi humu X bila blutiki? Kama mnaweza hilo basi hata jangwani mnaweza kuishi kama ngamia🐫🐪
Mtu asie na blutiki akinitukana kwa komenti kosa lake nikubwa sawa sawa na kesi ya Jinai 🙌na kesi yake haina dhamana........