Rafiki Yangu nikimuona anacheka kama Sungura tu najua Tu tayali kuna Binti asha mtekenya Hisia zake ila mapenzi mshikaji wangu sio wakusikiliza nyimbo za Yammy bana 😂😂😂
Ivi kwanini Wadada wakisikia Kuna Video ya Mdada imevuja (Amechafua Hali Ya Hewa) huwa Roho zao zinakaa juu mpaka ahakikishe sio yeye ndo anatulia 😂 Ndio huwa mna maannisha nini ?
Hisia Zangu zinaniambia Nachokifanya Ndio sahihi nivumilie kidogo tu yani kidogo sana kipa kitu kitabadilika na nachokitafuta kitakua zaidi navyo waza hii tweet ikawe motivation kwangu siku nitakapo isoma nikiwa sehemu nayo iwaza kwa wakati huu 🙏🏾
Sasa ulikua unapata Division one za nini ili kitokee nini yani au nikuulize tu Leo Mei Mosi na Ni weekend Utakua wapi mwanetu ku Hutubia Hata walevi bar huwezi 😂