@VodacomTanzania Hakuna mrejesho wowote...kwann mnakuwa wagumu kuelewa??...nilikopa mwezi wa nane nikalipa mwezi wa 10. Sijawahi kukopa tena. Hilo deni linatoka wapi???...Kwann msifanye reconciliation kwa account ya chomoka mjiridhishe???...
Ona majibu wanayonipa. Toka jana naambiwa suala langu linashugulikiwa sasa hv ndio napewa majibu ya hv. Nini maana ya DENI HALIKULIPWA KIKAMILIFU? KWANINI HAMTOI FIGURES? 26,000 NILIYOKOPA TAR 7/8/2023 ILILIPWA KIKAMILIFU TAR 5/12/2023. SIJAWAHI KUKOPA TENA!!..MSINIZUNGUSHE
Kule DM Wana majibu ya kihuni. Nawaambia sijakopa wanasema nimekopa. Basi waseme nilikopa lini, sh ngapi, nikalipa sh ngapi, ikabaki sh ngapi. Halafu wajumlishe waone majibu wanayonipa. Wizi mkubwa huu
Mpendwa mteja kiasi kilichotumika kulipia mkopo wa chomoka hakijatumika kimakosa kwani mnamo tarehe ;08/07/2023 16:29 ulikopa kiasi cha sh 26,000 na haukuwa umekilipa kikamilifu,tafadhali ingia kwenye menyu ya mpesa kisha huduma za mkopo kisha chomoka kisha salio kujua kiasi
SIJAWAHI KUKOPA CHOMOKA ZAIDI YA MARA MOJA TU. TSHS 26,000. NA SIKULIPA DENI HADI TAR 5/12/2023 NILIPOWEKA PESA KWENYE MPESA WAKAKATA JUU KWA JUU DENI LOTE.
@VodacomTanzania Maelekezo gani. Nimewaambia kiwango changu cha kukopa mwisho ni 26,000. Mnaniambiaje nimekopa 75,000????...Mbona hili suala hata mtoto mdogo anaweza akaona kuna makosa!!...
@VodacomTanzania Hakuna jibu linaloeleweka. Kiwango changu cha mkopo ni 26,000. Nitawezaje nikakopa 75,000??.. Ni sijawahi kukopa zaidi ya Mara moja tu.
@VodacomTanzania Mimi mkopo wa chomoka kiwango changu cha matumizi ni 26,000 tu. Siwezi kukopa zaidi ya hapo. Sasa mtu anakuja ananiambia nilikopa 75,000. How???..Are you serious???