Wakuu mlio Tanga, sasa Samaki Fresh au wa Kukaanga wanakufikia Tanga bila Jasho.
Chuma inaondoka saa 9 mchana, mzigo wako unapokea saa 1 asubuhi kesho yake.
Hakuna kuunga unga tena.
0762344677
Mara nyingi nikishatoka site weekend kuwaonesha Wateja wetu wa Survland viwanja vyao.. huwa namcheki brother @MarekaMalili anifungue samaki wa kuanza nao week.. na huwa nawapata kwa wakati big up brother..ππΎππΎ
Heshimu muda na juhudi.
Mungu ameweka kanuni zinazoongoza matokeo, kupanda hutangulia kuvuna, kazi hutangulia mavuno.
Ukidharau muda na juhudi, usitegemee matokeo tofauti.
Ee Mungu, asante kwa hatua ulizonisaidia kufikia.
Nitie nguvu niendelee pale hamasa inapopungua.
Nipe nidhamu kuliko hisia za muda, nishinde vishawishi, nikumbuke kusudi langu, na nibaki katika njia njema. Niongoze hadi ukamilishe kazi njema uliyoanza ndani yangu.
Amina.ππΌ