@KibwanaEdgar Kuhusu hili natamani shirikisho nisikie kauli yao🤐. Kaka sio kufikirisha ila wametupa majibu ya maswali mengi sana ambayo yalikua yanatatiza
@SportsarenatzTz BIG NO! Mi ni Simba fan, huyu mzee mzungumzaji ni mswahili kwani anataka Hersi amtetee Manara then mwenye Idara yake kabisa ajiskiaje? Jaribu kuelewa kuwa Kiongozi wa Taasisi kubwa na kua kiongozi wa familia
“Mheshimiwa Rais, nimefanikiwa kuwa chini ya uongozi wako katika namna mbili. Nilifurahia uongozi wako ukiwa mbunge wa Eldoret Kaskazini na sasa ukiwa Rais wa Kenya. Mheshimiwa Rais nikueleze, ni vitu viwili tofauti. Ulipokuwa mbunge watu walikuwa wakienda mtaani kushangilia mafanikio yako, siku hizi watu wanakwenda mtaani kuandamana” - Mwanafunzi wa Kenya Methodist University (KEMU) akimueleza Rais wa Kenya, William S. Ruto.
Kazi yangu kuu ni kubet.
Naishi asilimia 100 kwa kutegemea kubet.
Jumapili kwenye magrupu ya SATIVA17 zaidi ya matano yote yamejaa zilitolewa tips Free 17.
Lost ilikuwa slip moja tuu.
Win zaidi ya slip 16. Unaweza kuona hapo.
Watu zaidi ya 5000 jana wametajirika huko.
Haya yote yasingewezekana bila @kingwakitaa01 & @Sativa255 mitaa inasaza huko.
Unaweza pia kuwa sehemu ya familia hii kubwa ya kamali bure kabisa.
Nitext whatsapp : 0757637880
Telegram channel: JISAJILI - https://t.co/ZepPVWx9po
PROMO CODE - SATIVA17
ANDROID APP - https://t.co/Elf2MI869I
Sharti letu sisi lazima uwe mtumiaji wa 888starz.
Hatuna code za makampuni mengine.
Week hii imeanza upya, dozi inaendelea kama kawaida.
Repost
@TweveDevota Kipindi nasoma, niliwahi kupigwa zaidi ya izo! Jamaa alisema i will give you UNCOUNTABLE STROKES! Wana wakajaniambia nilipigwa fimbo kama 84! Ila haikutrend kwakua nilikosa kweli alafu mnyamwezi nilisunda Pensi la Jeans 👖🥂
@FKihamu Bro @FKihamu ningependa uandike kama Shabiki! Waaleze Simba kua wamuamini Juma Mgunda! Wampe Support Kubwa kwenye Dirisha la Usajili lijalo. Nna uhakika tunaenda nusu fainali next season with him! Na presha zetu mashabiki atazitibu