✨ *New Date Alert!* ✨
🌿 Mental Health & Wellness Training 🌿
Theme: Understanding the Importance of Mental Health in the Workplace
🗓 Thursday, 28th August 2025
🕔 5:00 PM – 7:00 PM
💻 Platform: Google Meet
🔗 Link: https://t.co/i2Q2JiF2K2
(1/2)
🌿 Meet Our Speakers for the Mental Health and WellnessTraining🌿
We're excited to introduce our speakers for the Mental Health and Wellness Training session for Healthcare Workers.
Theme: Understanding the Importance of Mental Health in the Workplace
(1/2)
I had the pleasure of meeting Dr. Godwin Mwisomba a brilliant Tanzanian medic and beneficiary of the Samia Super Specialisation Scholarship, who is currently pursuing studies in child and adolescent mental health in the UK.
We discussed the importance of mental health and the vital role young professionals like him can play in transforming our health systems back home.
I was especially encouraged by his passion and innovation, showcased through his research on Empowering Neurodivergent Children through AI-Driven Sensory Support. His SensoryNeural team was a finalist in the Elevate Great AI Competition 2025, competing against teams from across UK universities.
There’s growing momentum around using AI to revolutionise early childhood development and sensory support, and Dr Mwisomba is keen to see that Tanzania has a seat at that table.
By embracing innovation and global partnerships, we can build accessible, high-quality mental health services, enhancing individual lives and our nation's prosperity. Let's unite for a culture of empathy and proactive mental well-being, ensuring every Tanzanian thrives.
I had the opportunity to provide community awareness on mental health and Psy. first aid for people experiencing mental health challenges and mental illnesses. It is our responsibility to protect our mental health and help when our colleagues are experiencing mental challenges.
Tukiwa tunaadhimisha Mwezi wa Afya ya Akili kwa Wanaume, tumemwalika mwanasaikolojia @julius_jaji#ElimikaWikiendi
Ataangazia umuhimu wa wanaume kufunguka wanapokumbana na changamoto za Afya ya Akili.
#MindyourMind
@ZakayoMmbaga@johnpau10227488 Skizofrenia ni aina ya ugonjwa wa akili ulioko kwenye kundi la magonjwa ya akili yanayoleta kuchanganyikiwa. Tiba yake kuu ni dawa za akili ikifuatiwa na matibabu ya kisaikolojia na kijamii, mgonjwa anapoanza kupata nafuu na uelewa unaporejea.
KAMPENI YA KITAIFA YA AFYA YA AKILI YAENDELEA KWA KISHINDO JIJINI DODOMA
Majid Abdulkarim, Dodoma
Hospitali Bingwa ya Taifa ya Magonjwa ya Akili ya Mirembe imehimiza umuhimu wa kufanya mazoezi ya mwili na kula mlo kamili kama njia ya msingi ya kulinda na kuimarisha afya ya akili.
Hayo yamesemwa Mei 17, 2025, na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ya Akili kutoka hospitali hiyo, Dkt. Enock Chagarawe, kuwa hatua hiyo ni mwendelezo wa Kampeni ya Kitaifa ya Afya ya Akili inayoendelea jijini Dodoma inayolenga kuongeza uelewa kwa jamii kuhusu ustawi wa afya ya akili.
Dkt. Chagarawe, amesema afya ya akili ni hali ya kuwa na utimamu wa kiakili na uwezo wa kushirikiana na watu wengine bila kujitenga.
Amebainisha kuwa matatizo ya afya ya akili huanza kwa mtu kuwa na msongo wa mawazo, hali ya kuwa na mawazo mazito au hofu bila kuwa na dalili za wazi za ugonjwa wa akili.
"Dalili nyingine ni pamoja na mtu kuamini kwamba amerogwa au kwamba watu wanamnyemelea kwa nia mbaya, kusikia sauti ambazo hazipo, kujitenga, kujiona hana thamani na hata kutamani kifo na wengne kuonesha tabia za hasira za mara kwa mara na kuwa wagomvi," ameeleza Dkt Chagarawe.
Amefafanua kuwa watu wenye ugonjwa wa akili wanapaswa kupata matibabu ya kitaalam katika hospitali na wakati mwingine kulazwa kwa ajili ya uchunguzi na tiba sahihi sambamba na huduma ya ushauri nasaha kutoka kwa wataalam wa saikolojia pia ni muhimu katika mchakato wa matibabu.
Kampeni ya kitaifa ilianza
mkoani Dodoma, na tayari imeshatembelea mikoa ya Singida na Iringa, huku mikoa ya Morogoro na Manyara ikiwa katika ratiba inayofuata. Kaulimbiu ya kampeni inasema:
"Afya ya Akili ni Afya – Jikubali, Jijali."
Kampeni hii ni sehemu ya jitihada za kitaifa za kubadili mtazamo wa jamii kuhusu afya ya akili na kuhamasisha watu kutafuta msaada mapema.
🍄Afya ya Akili Ni Kama Mwili,Inahitaji Matunzo Kila Siku
🚨Huwezi kusubiri hadi uwe mgonjwa ndo ule vizuri... Kwa nini usubiri hadi akili ichoke ndo ujitunze
🌵 Pumzika, ongea, tembea, tafuta usaidizi. Ni sawa kujitunza kabla hujachoka
#AfyaYaAkiliNiAfya
🧠 Msongo Wa Mawazo Unaonekana Hata Mwilini
💊Kichwa kuuma bila sababu, moyo kwenda mbio, usingizi kuvurugika, tumbo kujaa au kukosa hamu ya kula...n.k.
🏩Hizi zinaweza kuwa dalili za msongo wa mawazo — si ugonjwa wa mwili tu, bali wa akili pia
#AfyaYaAkiliNiAfya
🧠 Changamoto ya Afya ya Akili Haihitaji Hukumu, Inahitaji Uelewa
🌚Watu hawaombi msaada kwa sababu ya kuona AIBU, si kwa sababu hawana maumivu
🌝Tujenge jamii isiyoogopa kuongea
#AfyaYaAkiliNiAfya
💔 Kujiua Siyo Suluhisho — ONGEA
🧠Kama una hisia za kutaka kujiua, jua kuwa wewe ni wa thamani.
👤Hauko peke yako. Kuna msaada. Kuna matumaini.
❤️ Maumivu yakisemwa, hupungua.
#AfyaYaAkiliNiAfya#JikubaliJijali