Simjui vizuri mtu huyu lakini nina uhakika ana wakubwa kwao na marafiki wako humu.! Kosa kubwa alikolifanya katika maisha yake ya biashara ni kuji associate na CCM na kupewa mavyeo haya!.. Anaweza akajidanganya kuwa atakwepa/atasamehewa kodi aki import ma jeans na mavuatu ya PAMU