@RashdaZunde Mnajitahidi Sana kum-brand. Maqna kisoma hawezi, darasani ni kichwa maji. Mnahonga Sana ili apate degree mbalimbali. Kama anaitaka elimu basi asome aone music wake.
@RashdaZunde Nilijua umeandika la maana. Boresheni matibabu ili watu waache kwenda nje ya nchi. Tatizo lenu FISIEMU mnapenda media than real work on the ground. Poor people.