Ushawishi wa @mangekimambi unazidi kupunguaa.
Anaemlisha taarifa nyingi ni za uongo na pengine anajihami.
Kufika Mwakani, Mange atapoteza ushawishi kwenye harakati hizi.
Awe Makini na Heche, Heche anajihami mapema kwa kuwalisha uongo wanaharakati.
Ipo siku ukweli utajulikana
@Nuruvazi01@MariaSTsehai Umewasa kijingaa sanaa...
Acheni usenge kuona watu wanapambana ground kwa juhudi zao mkawaona hasaliti.
Tanzania sio rahisi broh, siasa za Africa ni ngumu sana, heshimuni hilo
@ErickKamihanda Ukisikiliza interview yake iliyotrend sana ukaunganisha na ya jana CRDB, ameeleza wazi chanzo cha mtaji wake ambao ameupata kupitia uwanja wa JK wa kuwalipisha watu kufanya mazoez 1m kwa 90min lakini uwanja huo ni bute.
HUU NI WIZI NA RUSHWA.
CRDB Hawakupaswa kumfanya kua mfano
@Roma_Mkatoliki@EduTalkTz@Roma_Mkatoliki ndio maana huyo Yesu hata lengo lake la kuukomboa ulimwengu alifeli, alichotumwa hakufanikisha, mwishoe wakamla kichwaa
@godbless_lema 2. Mi nafuatilia siasa za Uingereza na Marekani hasa bungeni na nje ya Bunge, wale jamaa ni jino kwa jino, Trump anatukana na yeye wanamtukana.
Hakuna handshake Kaka.
Kwasasa lazima tuoneshe dunia Tanzania haipo sawa.
@godbless_lema@godbless_lema unatambua Samia anatafuta legitimate Kimataifa kuonekana ni serikali halali. Ndio maana unaona msafara wa watu wengi kwenda kumpa pole, ile sio bahati mbaya, ni mikakati kuonesha dunia kua anapendwa na Tanzania ipo Shwari.