Utalii ni sekta muhimu sana kwa uchumi, na Jumuiya ya ZATI inafanya kazi muhimu kama vile
Kuwakutanisha Wawekezaji
ZATI hutoa fursa kwa wawekezaji wa utalii kushirikiana
2. Kuwakilisha Maslahi ya Wawekezaji
ZATI inawakilisha maslahi ya wanachama wake
#zati