Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo:
Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii.
Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 13.5M
- Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 21M
Inakuja siku, Wasiotujua, majibu ya Dua zetu wataita BAHATI.
Wasiotufahamu, matokeo ya jasho letu, watasema TUNABEBWA.
Wasiotupenda, riziki itakapokuwa upande wetu baada ya msoto, watahusihanisha na USHIRIKINA.
Wasichokijua ni Mungu ndie aliyeshika kalamu ya ndoto zetu.🙏
Ok,
Mnakumbuka huyu dada wa kwenye kipindi cha Pop Baloon swahili Edition.
Alisema hataki mtu wa kumuoa,
Yeye bado mdogo, anataka wa kuzunguka nae tu!
Hatimae kampata 😂😂😂
Waangalie...
Video kwa Comments 👇
Waziri wa habari sanaa na Michezo kawataja Dogo Pateni na Zuchu wakati anawasilisha bajeti
Na kusema kuwa unapoenda kinyume na Maadili hatakama mgeni rasmi ni nani
Utachukuliwa Hatua...
Video kwa Comments 👇
Diamond Aliimba mpaka akaona joto suti aliyoivaa ikabidi aivue kwanza 😅😅
Ilikuwa ni Gym Tosha!!
Angalia perfomance ya Diamond, Zuchu, joel Lwaga, Lady JD na D. voice kwenye uzinduzi wa Hoteli..
Video kwa Comments 👇
“nilikutana na Joshua kupitia Facebook na nililala naye mara tatu, moja kati ya hizo ilikuwa choo cha kanisa, baada ya hapo sikumuona wala kumsikia tena”
hakuna barua yoyote, hakuna mawasiliano, wala kunitembelea, alipotea ghafla sana. nilienda kwake kumtembelea lakini majirani zake waliniambia amehama..…. “Irene”
Fuatilia….🧵👇🏽
Tofauti Ya Mahusiano Duniani Kati Ya Italians, Americans, French vs WaTanzania”
Shuka Na Uzi ⤵️🧵
Mahusiano ya Waitaliano🇮🇹:
Siku ya 1 = Sex
Siku ya 2 = Sex tena.
Mahusiano ya Wamarekani🇺🇲:
Siku ya 1 = Chakula cha mchana
Siku ya 2 = Chakula cha jioni na hugs.
Siku ya 3 = Sex
Siku ya 4 = Sex again.⬇️⬇️