Kila Binadam anahitaji mtu ambae anaweza kumsikia hata kabla hajaongea...
Unahitaji mtu wa kukuambia UNAWEZA hata kama Dunia nzima imesema HUWEZI...
✊🏽🚶🏾♂️
G.morn watu wangu wa nguvu ubuyu uko tayar ubuyu wetu ni mlaini,mtamu na hauchoshi mdomoni 😋Karibu uweke order 0745457220 tunapatikana Arusha kwa morombo
Package inaanzia 1000
Robo kg 2000
Nusu kg 4000
Kilo 1😋8000
Sado 25000
Ndoo ndogo 52,000 Wa Mikoani 👋
Guys mambo Vipi Asanteni Sana kwa support yenu mnayonipa napata Maswali mengi Sana kuhusu kilimo/Ufugaji, Dm ni nyingi mno lakini najitahidi kumjibu kila mtu,Nitaandaa utaratibu mzurii ili tuweze kupeana Elimu/uzoefu/Changamoto na ushauri kuhusu Kilimo na ufugaji, Asanteni. 🥰