Mh Rais @SuluhuSamia pole na majukumu, Yamepita masaa zaidi ya 8 tangu Uchaguzi wa Marekani uishe na @realDonaldTrump ameshinda, Neno lako kwa ushindi huu litajenga diplomasia yetu kimataifa, Bahati mbaya @VP ameshindwa. Tufurahi na kujipongeza kwa siasa mpya za ulimwengu na ulinzi wa maadili ya kibinadamu