Khaligraph akitoa hiyo diss yake kwa wasanii wa Tz nipeni lisaa limoja tu nimjibu na hii itafunga kazi kabisa. Naombeni Retweets 100 nijiandae niende studio kwa hiyo shughuli.
#KaliSioJonesOutonYoutubeNow
Familia nisaidieni kupata Rt niweze kumzawadia mpenzi wangu Tillah kwenye shughuli zake za uandishi wa habari aweze kupata Video za Quality. @TecnomobileTZ#CAMON20ikoplenty
Leo nimekuletea BiasharaGPT, KilimoGPT MahabaGPT na zingine 7+ BURE kabisa...
Na zinatumia lugha ya KISWAHILI.
Baada ya masaa 24 nitaanza kuziuza hivyo wahi mapema hii sadakalawe🎉🎉🎉